@mwangomile_: 🔥 UKIWA BADO UNA NAFASI YA@last_born KUPAMBANA, KEEP GOING! 💯❤️ Kuna watu wanatamani kukuona ukianguka, kuna wanaosubiri ushindwe, na wengine wanatabasamu mbele yako huku wakitamani mwisho wako uwe mbaya. 💔 Lakini sikiliza mwanangu... Usipoteze muda wako kupambana na watu. Pambana na mazingira yanayokufanya ubaki pale pale. 🔥 Maisha yako siyo mashindano ya kuwafurahisha wengine. Kila siku unayoamka na kupata nafasi nyingine ya kujaribu, hiyo ni sababu tosha ya kutokukata tamaa. LET YOUR SUCCESS MAKE THE NOISE. 🧠🏆 — LASTBORN 🎭❤️ #Lastborn #KeepGoing #MotivationTanzania #Maisha #Mindset
last_born
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 07:14:14 GMT
Music
Download
Comments
babafey :
pole san man
2026-11-14 08:12:17
0
Walter :
uhkikha familiar
2026-11-14 10:00:53
0
B ben :
poke kaka mkubwaa wish u quick recovery 🫡
2026-11-14 07:46:06
1
Izack fams :
lust born kwa heshima nimekuwa wa kwanza
2026-11-14 07:18:00
7
itongwa platy :
la st born kwaeshima brother 🫶🏿❤️
2026-11-14 07:19:41
0
lizzbeth💖 :
poleee sanaaa Mungu akutie nguvu utapon tunakuombea piaah
2026-11-14 08:32:21
4
ahazy shop :
polee kiongoziiii utakuwaa swwaaa man
2026-11-14 07:57:37
2
Pizzoh: kiddy👑👑 :
Really bro
2026-11-14 07:21:02
0
Isacrisi7 :
oyaaaaaaaaaaaa weweeeeeeeee Sure Mzee
2026-11-14 07:35:15
1
hanskid26✅ :
Respect bro🫡 ndo watu tunaoish nao hao
2026-11-14 08:56:10
2
21🌿 savage🍀 :
Na sio kila ndugu ni familia
sometime damu inatuunganisha, lakini
tabia ndo zinatutenganisha
2026-11-14 09:08:37
1
noelishas joely :
ndo binadamu tulivyo anguko lako fulaha yao
2026-11-14 07:30:37
1
💖 💕 💖 Salome ❤️ 💖💕 :
Mungu akulinde na akuponye fam
2026-11-14 11:36:37
1
kvarashkaBengo👑⚽🔥 :
Mkali wew
2026-11-14 08:06:07
0
PLΛIN々AΛRON :
oya wee✌️
2026-11-14 09:50:16
0
last_born fan :
upone kwaheshima
2026-11-14 08:53:27
0
realscotts🚚🚚🛺🚛 :
kwaheshma kaka
2026-11-14 08:16:24
0
mariapaul🥰 :
Pole sana mwangamile
2026-11-14 09:08:10
0
$🥇 :
Lastborn 🤟💯
2026-11-14 07:46:47
0
luka :
noma
2026-11-14 07:20:27
0
mariapaul🥰 :
Ata mm nilijua itapasuka😂😂😂😂
2026-11-14 09:05:27
0
official chiza 6 🧢 :
fact Mzee 👊👊
2026-11-14 07:33:04
1
Huncho-_-The nairobian Dzaddy :
oya wee unyama mwingi
2026-11-14 07:21:32
1
chazzy :
tuko pamoja kaka oya weee
2026-11-14 07:23:39
0
golden kiddy💫🖤 :
kwa heshima last born mwenzio apa 😂👍
2026-11-14 08:10:22
0
To see more videos from user @mwangomile_, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.