@mbwizzo: Achraf Hakimi afunga magoli 2 bang'aa na assist moja kwenye mechi kati ya Morocco 5-1 Niger. . #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #mbwizzo #hakimi #morocco
Cafu na Philip Lahm sijawahi kuwaona, ila Dani Alves nimemuona vzr. There is no way Hakimi is better than Dan Alves
2026-11-14 08:18:19
0
sudy 💎 :
we jau kk hakim hao legend unawachukuliaje cafu unamjua vizul au robeto calos ww a😁😁😁 tafuta show time t legend watengwe 💪💪💪💪
2026-11-14 08:37:27
6
Hendry Thomas :
ila ma Gen Z bana 😁
2026-11-14 09:24:09
5
bin rabbah :
anacheza na nan
2026-11-14 08:01:50
1
Black wolf 🐺 :
na swali kwako kaka kati ya PSG ya sasa na Barcelona ya mwaka 2015 ilochukuwa makombe yote ipi ni team kali kati ya hizo weka uxhabiki pembeni
2026-11-14 08:35:15
1
ît's àlfà ☑️ :
prime cafu typing......
2026-11-14 10:03:27
1
misfits :
usijimalize
2026-11-14 10:18:09
0
BC :
hv Roberto Carlos alikuw winger au🤣🤣🤣Kwa sababu najua mm alikuw right back sasa Hakim ni nani😂😂😂😂
2026-11-14 07:52:26
1
Brayan Sanga :
yup messii ww
2026-11-14 08:13:06
0
Paris :
trent amna anae mkuta kak
2026-11-14 09:13:42
0
Josh👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑 :
how about this
2026-11-14 09:28:16
0
caden 🇰🇪❤️🔥🇹🇿❤️ :
we bregenz ata kwa marcelo bado hafiti ukisema afrika tu
2026-11-14 07:41:32
0
__nasty :
another BANGERRRR🤣🤣🤣
2026-11-14 08:17:53
2
𝕾𝖆𝖘𝖒𝖆𝖓 :
psg no problem
2026-11-14 08:22:24
1
last mataji junior :
MBWIZO UNA BALLON DIOR YAKOO it goes to VICTOR MALUMBWIZO VITINHA FERREIRA
2026-11-14 08:02:21
3
Fulgence Namahala :
amecheza na nan
2026-11-14 08:07:27
0
Black wolf 🐺 :
Kila mmoja ana silaha yake:
Cafu: Balance kati ya attack na defence.
Dani Alves: Creativity, passing na combination play.
Hakimi: Kasi, movement ila kama unabidi uchague mmoja wakuanza kaka hakimi hapati namb kwa Cafu au Alves
2026-11-14 08:31:59
0
BNX :
Duuh apo kutembea ni dk 10 au 15 huo ni uongo bhn ata useme utembee agoli adi goli humalizi dk10
2026-11-14 08:32:00
0
Whoshpap :
We jamaa unamzunguzia dan alves gani leta namba@
2026-11-14 08:02:43
4
H:B :
dan carvahal
2026-11-14 07:50:05
4
P.B_LUXE :
psg itakuowa mpra umeanz kufwatlia lin
2026-11-14 08:20:33
0
Mr Nonchalant :
valverd kilaka
2026-11-14 08:47:56
0
hancho :
asa we golin kuna kipa anacheza Simba asa nanii atashindwa kufunga kwa beki anae jielewa
2026-11-14 09:26:42
1
To see more videos from user @mbwizzo, please go to the Tikwm
homepage.