kwa Nini jini atake asionekane na viumbe wa nyama ilihali hakukuwa na viumbe vingine vyovyote?
hapa vipi shehe
2026-11-16 22:47:02
5
Jax_Ink_Beatz :
jini ndo kaumbwa alijuaje kama kuna kuzeeka[Tears of joy]
2026-11-20 16:46:44
1
r muly :
bro sisi wote sio waislam bana
2026-11-19 19:31:42
2
0635728566 :
kwahyo jini nae anshika mimba miez 9 au
2026-11-17 06:51:19
2
🇰🇪 Muadh Rohania 🇰🇪 :
asalaam alaykum ndugu shekhe. shukran sana kwa hili somo nimefaidika . Tafadhali naomba ni jina la jini wa kwanza alieumbwa na Allah na jina la mkewe . shukran.
2026-11-14 11:35:04
2
James😈👿 :
nnachojua mie sis binadam wot ni majini fatilia utaona