@felixog_official: Kama hadi chuma alinyoosha mikono na kumuomba mwamba aruhusu mwembe ubomolewe wengine mnapata nguvu wapi kumsurutisha #jifunzekitu #tiktoktanzania 🇹🇿 #tiktokkenya 🇰🇪 #misemoyahekima #misemoyakiswahili @felixog
Anamzungumzia Mzee magungu wa kiberege siyo mangungu hilo naomba lietanbulike hivyo na kuna mkuyu pia wa pale kisawasawa njia ya kwenda ifakara ulishindikana kila walipoukata mkuyu ulikuwa unamwaga damu Hadi walipowaomba wazee na kuchinja mbuzi ndipo wakaruhusiwa kuukata