@landdwellers: Jamii ya Wahadzabe kutoka kata ya Lake Eyasi, wilaya ya Karatu mkoani Arusha, wameendelea na mgomo, ikiwa leo ni siku ya 3 kudai haki ya kunufaika na mapato ya utalii, ambapo hadi sasa wamefikia uamuzi wa kuzuia magari ya watalii kuingia katika geti liliopo Mang'ola. ‎ ‎Kwa mujibu wa jamii kutoka vijiji mbalimbali vya kata hiyo, ikiwemo Mbuga Nyekundu, wamesema kuwa kiasi kikubwa cha mapato kinaenda kwa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, huku wanajamii wakinufaika kidogo, jambo linalodhorotesha kupata mahitaji yao ya msingi.

Land Dwellers
Land Dwellers
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 08:35:17 GMT
26042
1070
80
43

Music

Download

Comments

jamesennanuel
Festo James :
Kama Hawa Wameanza Kujielewa basi CCM ijitafakari sana 😂😂😂😂😂
2026-11-14 14:24:34
51
daudi.daudi75
D maestro :
Chaba amekasirika[Tears of joy]
2026-11-14 18:22:11
4
frankbiswalo415
frank biswalo :
tatizo waliwaonyesha fedha
2026-11-14 21:06:44
4
jupter3348
jupter :
serikali ivi hela za watalii kuna watu wananufaika nazo tutafika tu
2026-11-14 13:47:34
14
paskal.d.tambo
pascal :
kumbe wanajuwa kuongea kiswahili
2026-11-14 13:58:53
17
hamadyally4
MGAYAMALI🇹🇿 :
nimemuona mtaalam chaba apo
2026-11-14 15:33:26
5
mtambomusa
@Musa :
Wanaongea vizuri tu tupo wengi hadi huku mjini sema hatutaki tujulikane tunayumia majina ya ukoo wengine
2026-11-15 03:08:31
1
___enrick
Kairo :
Wanajua kubargain 😁
2026-11-14 14:47:10
6
dulla_nation
dulla_nation :
yan apo wakianz kuongea unaskiat kama wana screenshot😂
2026-11-14 13:42:55
7
user446763980746
oleseremon workshop :
Serekali inatumbo kubwa inakula mpaka makombo lakini haishimbi.
2026-11-14 19:11:14
4
tonymkoko977
tony Mkoko :
Nani kawatonya jamanii [Snicker][Tears of joy] ila wako sawa
2026-11-14 20:46:50
2
user4517337718186
user4517337718186 :
mmestuka et ee!
2026-11-14 15:20:57
6
user96867340388305
MRB :
lakn hii ni mbaya sanaa amini kwamba Tanzania 🇹🇿 imepasuka vipandevipande hadi hawa nao. basi kuna shida
2026-11-14 17:54:21
2
regansifael
regansifael :
wanajua adi halmashauri so wanatuigiziaga awaaa😁
2026-11-14 17:01:07
4
side.rama3
side rama :
wame choka kuwa mirad ya watu
2026-11-14 14:36:31
2
mama.breanna3
mama Breanna :
safiiiiiiiii kabisaaaaa chifuuuu
2026-11-14 18:45:51
1
lifelakiturist
Johnijoh🙏🏞️ :
nlijua ipo siku itakua hviii😂
2026-11-14 16:52:17
1
marera.expedition8
marera expedition :
chaaaba ni usalama wa taifa
2026-11-14 17:32:47
1
neylaaa4sure
Neylaaa :
safi sana wanahaki kabisa kupata nusu ya mapato
2026-11-14 15:35:01
5
ntungi7
NTUNGI :
kweli
2026-11-14 12:49:23
1
kajeuly7
kajeuly :
ni sawa majama wapewe wanachotaka
2026-11-15 03:35:15
0
joshua94019
Joshua :
Chaba anasemaje wewe husemi
2026-11-15 03:49:01
0
joleentz
Jojotz🦋 :
wapo vizuriiii
2026-11-15 04:15:35
0
festochizenga
festo samson chizenga :
wameanza kujitambua sasa
2026-11-15 02:48:46
0
mkulima447
Mkulima :
safiiiiiiiiiii
2026-11-14 15:56:08
0
To see more videos from user @landdwellers, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About