@jvckieseven: mwaka 2008 kwa mara ya kwanza BARNABA akaingia mjini na hili jiwe lake safi kabisa lililofanya vizuri sana sokoni akiwa kashirikishwa mwanadada PIPI na hili jiwe la kuitwa NJIA PANDA 🔥

JvckieSeven
JvckieSeven
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 08:56:40 GMT
27412
1011
42
37

Music

Download

Comments

user43874815107848
Azza :
nipo form one hatariii sana
2026-11-14 13:39:43
3
mrleonard255
LEONARD 🇹🇿 :
it was my favourite song
2026-11-14 17:32:22
0
benkisanga
𝗕𝗘𝗡 𝗞𝗜𝗦𝗔𝗡𝗚𝗔 🇿🇦 :
niko darasa la 6 🔥🔥🔥
2026-11-14 10:01:30
4
sharobaro12mcute
Sharon Mamake Vaddy :
enzi hizo citizen radio show ya Tina ogal asubuhi bac in 2009
2026-11-14 11:43:05
4
rajah.khan48
rajah khan :
darala. la 6. kijijin. manyara. boy
2026-11-14 14:25:30
1
auchovitonga
Aucho Vitonga :
la kwanza
2026-11-14 14:21:37
1
magoso.music
Magoso Music 🎵 :
apo nina miaka 3
2026-11-14 13:31:51
1
kongwalady
Catherine Ntumbala :
Darasa la kwanzaaa A kipindi hiko😂😂😂
2026-11-14 13:31:42
1
augustinodavid458
malugu## :
dah kitmbo
2026-11-14 09:04:14
1
faridastanley433
Farida Stanley :
mh wakati nipo darasa la 4 😂
2026-11-14 13:10:34
1
felister482
felister482 :
apo nimemaliza la 7
2026-11-14 23:29:22
0
bozineaboza
jahblessjr🍁🎵😷 :
hvi la pili na yenyew ni kuwa😅😅
2026-11-14 20:17:29
0
janet.munisi
Janet Munisi :
nimegundua humu watoto wengi mnooo
2026-11-14 17:07:06
0
mimah.2026
Brave🎀heart 🇴🇲♥️🇹🇿 :
hapo nina miaka 7 sasa nina 25 miaka inaenda kasi san
2026-11-14 17:45:43
0
mimahhassan4
halima hassan :
mm nipo la saba
2026-11-14 17:32:13
0
officialnaswila29
official Riner💝 :
kumbe jina pipi sio gen jijin
2026-11-14 13:02:03
1
spices468
Spices&More🌶️ :
Watoto wa 2000 hiyo stand hapo ni Moroco Kinondoni kipindi hichoooooo🤣🤣🤣
2026-11-14 13:48:21
1
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About