@jambotv_: Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF Kiomoni Kibamba amesema Simba wamepeleka kamati tatu za Uchaguzi mpaka anashindwa kuelewa ipi ni ipi na inatoka Simba ipi. Aidha Kiomoni amesisitiza Uchaguzi utafanyika siku ile ile aliyotangaza Mwenyekiti wa Klabu Murtaza Mangungu ambaye ametangaza 30/01.