@kodimaselemani: Wimbi la Majeraha linawaandama Yanga? Je Tatizo ni nini? #yangasc #tanzaniantiktok🇹🇿 #nbcpremierleague #simbasc #viraltiktok

Selemani Kodima
Selemani Kodima
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 10:09:28 GMT
41785
2117
37
54

Music

Download

Comments

sankale.risando
sankale risando :
daaaaaah inauma kweli
2026-11-14 12:35:14
0
chikupaulo
chikupaulo :
poleni sana wananchi
2026-11-14 14:40:50
0
isayalihako
Isaya Lihako :
poleni wananchi
2026-11-14 12:13:47
0
exavery6_
Exa :
Kipindi cha usajili mkisajiliwa wazee mnashangilia mnasema injinia ni mnoma.Haya sasa
2026-11-14 12:29:41
1
heis...poundz2
Heis Poundz🤑✌️ :
Namuona X factor
2026-11-14 12:42:41
1
domagoskipper
BIGMAN :
Uyu ni Nani pale Yanga
2026-11-14 15:52:55
1
khamisibinamu
Binamu dread locks :
tatizo wachezaji wao wazee mpira una sayansi yake inaanzia kwenye umri nishati energy umri ukisonga majeraha ni lazima
2026-11-14 15:40:07
0
user195568526887
juma195568526887 :
Naleo wanaumia wengine
2026-11-14 16:22:17
0
mamaa4624
Mamaa :
Imeniuma Sana
2026-11-14 15:16:56
0
ferone_on
Ferone On :
Get well sooner wananchi 💚💛💚
2026-11-14 12:38:47
0
dorkas.dabaly
dorkas dabaly :
ila anaeangaika kufanya vitu vibaya kwa wachezaji wetu tunamwachia mungu
2026-11-14 13:38:17
0
josephmusa692
josephmusa692 :
i love yanga
2026-11-14 13:53:40
0
masunga..m.mahanj
Masunga. M.Mahanja :
inauma sana
2026-11-14 15:31:18
0
benzemakarimu955
Hassani issa :
naipenda yanga
2026-11-14 13:44:15
0
mary.gian5
mary gian🤗 :
pole max mungu atakuponya utaimalika
2026-11-14 13:13:04
0
amina.juma833
Amina Juma :
dah inauma sana
2026-11-14 12:28:05
0
jacksonelias388
Jackson Elias :
hiyo ni laana ya pacome
2026-11-14 11:03:39
1
saidimangorosho
saidimangorosho :
Ndio wanavyotaka wapinzani Sasa hatutaki wachezaji wetu
2026-11-14 16:04:12
0
user1827592014621
msafli chandugu :
vp nae baka nàe jana mbona hatûelewi apo kunatatitizogani au kuchimbadawa jangwañi mazalayake diyohaya yakupata majelaa wachezaji wetu iliswala lichunguzenikiumakîni
2026-11-14 15:25:23
0
user2723149573731
Mumebora :
Ni Laana inayotokana na kufuru ya kutamka kuwa sasa wanataka kucheza na malaika[Laughing]
2026-11-14 13:17:45
0
shadzo90
⚔️ Dizzoh ⚔️ :
ole wake aniguse mtu
2026-11-14 14:07:51
0
kingxhannara5
kingxhannara :
sindano walizoanza nazo za mang'oba mpigwa miti sas naon zimeisha wanaanza kuathirika sas
2026-11-14 13:35:40
0
user81358860019850
Northern Men :
Ila Uto adi majeruhi wanaandaliwa makala 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-14 13:14:52
0
chetajr17
🅲🅷🅴🆃🅰 🅹🆁17 ☠☠❤️‍🔥❤️‍🔥 :
duke kapona na max ww
2026-11-14 11:32:55
0
usersomoe3734321792581
momo Bae💓 :
💚💛💛💛💚
2026-11-14 15:58:15
0
To see more videos from user @kodimaselemani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About