@masterkeyofficially: Kuna mtu amekuibia kitu muhimu? Unataka akirudishe baada ya kufanya jambo hili? Tafuta pilipili kavu mbili na kitunguu saumu kimoja kibichi. Chukua pini 📌 kama ilivyo kwenye picha, kisha kitoboe pilipili na kitunguu saumu kwa kutumia sindano huku ukilitaja jina la kitu ulichoibiwa. Sema maneno haya: “Kadiri ninavyotoboa vitu hivi, ndivyo mtu aliyeiba ngoma yangu 🥁 atakavyohisi maumivu. Kuanzia sasa, hatapata amani mpaka atakaporudisha kila kitu kilicho changu.” Baada ya hapo, vizike mahali unapopajua. Mtu huyo akisharudisha vitu vyako, vichimbue tena kisha vitupie kwenye maji yanayotiririka.
bro we ni fundi
ile video ya mvuto nilifuatilia saivi napigiwa simu kila kona za kazi
2026-11-14 16:29:59
3
jacinta :
alf inamaliza siku gap ndio nitupe
2026-11-14 16:10:00
1
fauzia yahaya :
mim niliibiwa hela zangu niliweka miezi 6 kwenye kibubu mtu akakiiba kibubu nikakuta kibubu hakipo ndani nililia sana sk hiyo hela yangu kila sk nilikuwa naweka elf 10 ikipungua sana elf 8 nililia sana 😭😭😭sinto isahau kabisa hii sk 😭😭😭😭
2026-11-14 17:02:01
4
Fadhili mlingo :
mmmmmmmh
2026-11-14 19:20:39
0
user8787315866143 :
Nimeibiwa vit vyandani nimwezi Sasa je itawezekana naomba nisaidiye
2026-11-14 16:52:11
1
mumsule(Gladysmuchiri) :
Je kama mtu amenitapeli
2026-11-14 17:26:01
1
suleimani :
sijaelewa nn ivo
2026-11-14 15:36:04
2
Ferooz Rajab :
Asante kuna jamaa kama ofisini kwangu nika mfanya setting ya remote bure.Pia nika chukua flash yangu ya GB32 akaona picha ila nilipo sahau ile flash.Hakurudi hadi leo na haja nipa hata sh 100 ya peremende.Na mfanyia Hii kitu.
2026-11-14 19:05:43
0
gal :
amina
2026-11-14 15:29:04
1
skyofficial :
Mh. Je mimi nilie ibiwa kwenye mpesa napo nafanya ivo
2026-11-14 16:30:38
0
hannahmbogo7 :
nimeibiwa nguo zangu wiki sasa itawezekana kweli😢
2026-11-14 15:02:35
2
Sizza Kiungo :
asate
2026-11-14 15:52:28
0
Riziki Hassan :
ok
2026-11-14 15:22:07
0
jahppy jahson :
mm kuna watu nawadai
2026-11-14 13:51:45
1
Chris :
inewezekanaje hiyo kama kala mkate atarudisha nini😁😁😁
2026-11-14 11:26:53
4
Devannie :
mimi nishapata Babu wa nyuki mwenye alinisaidia kutengeneza boss wangu na kupata pesa zangu niliconiwa na njoroge akijifanya ananiuzia shamba .......w
2026-11-14 16:48:32
0
jeyboy :
mm nataka ya mvuto
2026-11-14 16:59:43
0
Barbie🌹 :
Nkikuta vimeoza au kuku kafukua 😂inakuaje
2026-11-14 19:05:41
0
Umdat Ally :
vitupwe vikiwa vimeshikana ivo ivo
2026-11-14 17:11:52
0
side rama :
muachage kutuona ma bwege hakuna kitu hapo 😂😂😂
2026-11-14 14:40:37
0
it's✨️ first✨️ born2️⃣5️⃣5️⃣✔️ :
laundi hii wame jichanganya 😅
2026-11-14 19:05:41
0
Pound Jerome :
😳😳😳
2026-11-14 16:42:02
1
Nunu💗 :
🥰🥰🥰
2026-11-14 19:08:57
0
merciline🌹🌹💞 :
Siri moja kali ni kufunga wangu nilimfunga permanent kitu yake haiwezi simama kwa mwingine juu alikua anacheat na ataki kuskia sai ametulia,,
2026-11-14 12:25:38
1
To see more videos from user @masterkeyofficially, please go to the Tikwm
homepage.