Huyu n mama angu kabisa💔🥹 kuna mda mpk namuonea huruma aisee anapitia wakat mgumu mno always huwa analiaga tu na mungu wake akimwambia asimuache pekee ake nyuma ake wapo watoto wake wanamuangalia yy hatak watoto wake tupitie shida ambazo amezipitia yy 🙌🙌mungu azid kuwasimamia wazaz wetu atleast na wao wafaidi kidg matunda ya watoto wao🙏🙏
2026-11-14 16:12:45
67
whitney💙 :
baba angu hana mama wala baba na nduguze wanamuona kama kituko
2026-11-14 18:34:23
18
Jemour🧸 :
God bless my mum🥰
2026-11-14 21:36:21
0
Linah collection 💴 🧢👖🥼 :
Mimi baba Ang Ana mama wala baba jmn na mama Ang nae kafariki Kamuacha 🥺🥺
2026-11-14 17:11:36
17
gee 😘 :
me sina babaa na yeye anaa babaa 🥺🥺
2026-11-14 18:26:51
3
Glory ❤️♓ :
Hadi nimelia Mungu anitunzie mama angu anajitoa sana kwaajili yangu 🥺
2026-11-14 17:53:06
9
Ms_breenah_19 🎀♎️ :
Me wangu ana Mume tu wazz wote hana🥺💔
2026-11-14 15:21:22
6
Bugatti 369 :
Ungenitag Tu Bint Yangu Wala nisingeumiaaa......😢😢😢😢
2026-11-14 18:55:15
6
lucie🦋 :
same na mamangu pia hana wazazi pamoja na mume😭💔🫂
2026-11-14 18:38:30
2
lucymwananzumi676 :
Mama yangu jamani🫂
2026-11-14 18:08:06
1
Emma Gibson :
mimi ndo huyo mama 😭😭😭
2026-11-14 18:03:45
1
fatimamadini🧿 :
Mimi wangu Hana Baba Hana mama ana Mimi na Mimi pia Sina mume 💔😂
2026-11-14 21:49:59
0
🦋pretty🌹nemy🍭💎 :
Ht mm mama yangu ni yatima 🥹🥹
2026-11-14 19:51:52
1
Nora cosmetics 👄 :
uyu ni mama yangu🥺
2026-11-14 19:34:45
1
Sally✨🥰 :
My Mom🥹💔
2026-11-14 18:29:04
0
𝓜𝓪𝔂𝓪_𝓷𝓸𝓽_𝓽𝓱𝓮 🐝♒ :
my mom[Facepalm]
2026-11-14 18:18:18
0
Herself masika ❤️ 😍 :
Wangu hana hadi ndugu😁💔
2026-11-14 19:41:47
1
Mary_Mapochi_Mwanza :
Mama yangu huyo🥹
2026-11-14 19:05:38
0
blessed🥰 :
mimi hapa
2026-11-14 17:50:48
0
nooour :
aah 🥲🥲🥲😭😭😭😭 ila nyie 😥😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-14 18:23:20
0
She is ~~~~flying 🌹🥰 :
Umenigusa sana kama mama angu tu
2026-11-14 18:57:36
0
JENNY❤️🌸 :
My mom❤️🥹
2026-11-14 17:42:39
2
Loveness :
Afadhali mama ako ana wewe wengine hawana vyotee
2026-11-14 18:09:27
3
minjaglory :
ila anawewe🥺🥰
2026-11-14 17:51:50
0
NGOOSHA BUDDAH 🍂 :
life 🥹🙌Mungu
2026-11-14 19:35:16
0
To see more videos from user @janneydeliciouscakes1, please go to the Tikwm
homepage.