Rohani ni kiunbe aliyekutunuku kwa Malengo baina ya wewe na yeye
2026-11-15 05:15:22
0
Nimrat :
Andante kakaangu
2026-11-14 13:55:20
1
mohamed :
kimimi rohani ni jini mzuri alie shika dini na ni muislamu,jini afanya la sawa na pia hufanya lisilo kuwa sawa.
2026-11-14 15:51:39
0
Athumani Omary :
Kiukwel majin wote wanaowaingia binaadam ni wabaya ila kila mmoja anakuja kwa njia yake kwa stail yake mwengine anakuja kwa njia ya ulinzi mwengine kwa njia ya uganga lakin wote lengo lao ni moja hawana nia nzur na sisi
2026-11-14 17:48:52
1
awa phiri :
subhana.allah
2026-11-14 16:40:41
2
Migila :
Jini maana yake ni Jana( pepo) na ndiyo Rohani.
Maana ya Rohan ni kiumbe wa kiroho ambavyo havionekani.
2026-11-15 03:57:24
0
thushebby :
Shukran jazaakallah kheir
2026-11-15 03:27:00
0
fmaka :
Hatuna PA kukimbilia si kwa kuteseka huku, tumetapeliwa pesa, kisa kusukumiwa majini, Alhamdulillah, Mungu anajua zaidi.
2026-11-14 19:13:46
0
HAPPYNESS IS FREE :
Allah satir, learned something brother
2026-11-14 13:55:35
1
g :
Shukran
2026-11-14 11:29:27
1
Mkanile :
Shukrani kakaake,
2026-11-14 11:17:02
1
Athumani Omary :
Kwanza mtambue hawa majin wamegawanyika wapo majin wazur na wabaya wazur hawakai na binaadam na wala hawashei kitu chochote na binaadam na majin wengine wabaya na ndio wanapenda kushea vitu na binaadam na lengo kubwa ku kufurisha kiasili majin wote wanaowaingia binaadam si majini wazur ili hali wanakuja kwa njia za sir na kujifanya wema na wapo wanaokuja kwa dhakhir kama wao wabaya ila wote lengo lao moja ku kufurisha ila kila mmoja ana njia zake anavyokuingia ndan ya mwili
2026-11-14 17:43:35
0
Athumani Omary :
Na wengi wao wanawaingia binaadam kwa ajili ya tamaa kula vizur kuishi vizur na kumpotosha binaadam
2026-11-14 17:59:34
0
The Homemade cook :
Subhana Allah
2026-11-14 12:12:58
0
Athumani Omary :
Rohan tafsir yake ni roho mbili nafs ya binaadam na nafsi ya jini kwa mtambue ukisema rohan ni utakaso yan kiumbe kilichotakasika kwa Allah na akikai karibu na binaadam
2026-11-14 17:37:42
0
halimabaijanmoham :
😏bradha rashin na sual hi naomb uni jibukuna watuwameva kanzu gern nakilemba na khanzurad na kilembawani ambiyanisomequrani kuna@
2026-11-14 18:35:15
0
slma :
shee turudishie ile vedeo yako ya zamani ulivyo umwa adi ukanza kutoa vsomo vyaa tiba
2026-11-15 05:09:18
0
alim19 :
Maneno yako HAYANA ushahidi
2026-11-15 04:45:29
0
halimabaijanmoham :
@
2026-11-14 18:35:25
0
To see more videos from user @mr_rhenish_ali, please go to the Tikwm
homepage.