Ukiona mtu anaenda kumuongelea mtu mambo binafsi ni dalili ya kushindwa kihoja kilamtu anajua🚶
2026-11-16 13:19:39
8
P2 :
ivi nyie si mlianza kututukana wakristo
2026-11-15 09:32:00
9
Julius shikuku ouma :
Subhana Allah!!, Mwenyezi Mungu atamlipa kwa hayo anayomzulia Muhammad S.A.W
2026-11-14 16:58:43
11
reg99 :
Jesus's is king
2026-11-15 13:49:04
5
DHAMNA :
Hakuna siku utaskia waislamu wanachoma vitabu vya Imani nyengine au kuwatusi mitume wa Imani nyengine.
2026-11-14 19:45:35
6
DAGAA ZA KITAA :
Hatimaye YESU KRISTO kashinda tena
2026-11-15 11:20:21
5
Bradhel Fayya :
Allah akuhifadhi
mwalim
kwa kumtetea kipenzi chaumma
2026-11-15 08:24:19
6
KITABU NIPIKE NINI LEO :
shehe unaleta logical fallacy inayoitwa AD Hominem yaani una mu attack mtu mwenyewe badala ya ku attack hoja zake. mfano hapo mambo ya mama yake na baba yake yanahusiana nini ?? 😂😂😂
2026-11-14 16:05:11
2
duale :
hoja zake mbona hujibu
2026-11-15 08:40:48
3
KANTA-B :
mbona unaongelea familia yake. Hio sio hoja. jibu hoja zake
2026-11-14 15:34:50
2
philibetypaskalit :
weslam bwana mkiusema ukristo sio kuuchukia. ila wakristo wakiusema uisilam ni kuuchukia uisilam. nashidwa kuelewa
2026-11-15 05:38:49
2
don_luis75 :
Sultan amesema kweli
2026-11-14 15:56:51
2
user7816674296879 :
usimwatack jibu hoja zake mbona unaogea kitu tofauti
2026-11-14 13:05:44
0
ibrahimu :
Safi sana ostaz
2026-11-14 11:19:41
5
Arqam :
Maa sha Allaah mwalim Shaban. mola akuweke kwa ajili ya Ummah kutupa elimu.
2026-11-14 15:30:13
6
Pera Vendor :
J Plus vs Seba,
2026-11-14 22:27:18
1
Onedirection🇹🇿 :
Sasa hiyo yote inahusu nini kila mtu anaye mama na kila mtu anaweza chagua dini anayotaka jibu hoja zake kama unaweza sio unaleta stori za mtaani kila mtu anastoti zake
2026-11-14 12:44:29
0
007 :
jibu hoja baba haleema
2026-11-14 12:15:36
1
BY THE GRACE GARAGE🇰🇪🇰🇪 :
MIMI NI MWANAFUNZI WA AHMED SULTAN NA NSMPENDA NA KUMUHESHIMU SANA JUU ANAFUNDISHA UKWELI....
2026-11-14 16:54:47
0
Joh_Mpili :
Jibu hoja mzee 😅
2026-11-14 21:44:09
1
Gervas Weston :
Siyo kwamba anauchukia uislamu, jitetee kwa hoja siyo kuleta historia za maisha ya mtu.
2026-11-15 13:22:39
1
Andrew Angatia :
lakini si anasema ukweli
2026-11-14 18:20:34
2
. :
Allah amuongoze njia ilio sahih
2026-11-15 06:47:25
1
To see more videos from user @shaaban_b.omar, please go to the Tikwm
homepage.