@mkakafulani: NILIACHA KAZI SIKU 3 KUMTAFUTA MWANANGU - BABA IMMA______ Hassan Mhema, baba mzazi wa Imma, amezungumza na @KingsFMRadio kuhusu mazingira ya maisha yao kabla ya Imma kuondoka nyumbani na kuelekea Mbeya, pamoja na hatua mbalimbali alizochukua katika siku tatu za kumtafuta mwanawe baada ya kutoweka nyumbani kwao Makambako, mkoani Njombe. Background video credit: 📹 : mhandishi_nyingi/instagram #KingsFmDigital #JisikieMfalme #Tabasamu
iv kumpiga mtoto inamaana humpendi?mbn tulipigwa sana wengine apa
2026-11-14 18:48:57
84
chuga bad😎 :
walio upande wa Mzee baada ya maelezo tujuane
2026-11-14 20:58:25
38
JOHN,PHON,ACCESSORIES,BUNDA. :
maelezo ya baba ndoo yaukwel baba lazma akuadhibu mm nilipigwa nusu yakufa lakn skutoroka tena na mama yangu mzazi
2026-11-14 17:17:45
80
oscarbunge :
KAMA HUJAKUTANA NA WATOTO MAJEURI HUWEZI KUMWELEWA HUYU BABA,KUNA WATOTO NI SHIDAAAAA OMBA YASIKUKUTE.
2026-11-15 03:10:20
5
Man yassoh :
nipo upande wa mzee✊
2026-11-14 20:00:46
18
Man td :
dogo jeuri achana nae dunia imfunze
2026-11-14 18:33:59
41
Don :
mtoto hafai kutoroka kwao...kikwetu mtoto akitoroka kwao uyo sio wako
2026-11-14 17:08:35
54
dorcasrouterwifisupplie1 :
Ila kiukweli watt wanaweza kudhalilisha sana🥹Mungu atusaidie tu maana mtoto anaeza kukufanya mzazi uonekane muwaji 🥺na amnaga mtu anamchukia mtt wake na pia uyu dogo me namuonea huruma maneno anayozidi kuyaongea mitandaoni kumchafua baba ake mitandao inatunza sana vitu
2026-11-14 18:20:31
27
ester 🦋 :
daaaah ndio maana wanasema Kesii sikiliza pande mbilii🥺🥺
2026-11-14 18:05:59
27
MODERN VIEW SUNFLOWER OIL.DOM :
dogo jeurii
2026-11-15 04:07:39
0
Brithnessy Payovela Frida :
Mimi kama mzazi namuelewa mzazi mwenzangu
2026-11-14 18:07:09
28
Frankphotoz :
Mshaona Emma ametoa wapi kipaji cha kujielezea?
2026-11-14 18:24:19
14
Jay platty :
mara nyingi baba amekuwa akibeba lawama sana katika familia lakini BABA ndokila kitu katika familia eeeh mwenyezi MUNGU tulindie baba zetu 🙏
2026-11-14 17:15:18
28
sanga og :
Mzee kaeleza vzul balaa
2026-11-14 16:58:16
27
MILLAN &MALLEN Mom 🦋🩵 :
Ety kipigo kidogo ilaa wazaz 😂😂😂😂
2026-11-14 14:52:45
8
Lukas Benad :
baba kaezeza vizuli
2026-11-14 16:24:57
13
Maryam 🌹 :
Niko upande wa baba
2026-11-14 17:43:45
13
lucydeprecious :
mtoto mjeuri kashaona uhuru wa mitaani hapa inahitaji nguvu kubwa masikini
2026-11-14 18:09:51
7
Dr khaten :
Nipo upande wa dogo
2026-11-14 17:54:02
5
Salesia Swalo :
kumbe baba wawatu kajieleza vizuri 🙏
2026-11-14 16:44:28
7
Raphaera :
ila nimakundi bana mama yangu mimi ni anapiga sijawai kuwaza ata kutoloka nyumbani utukutu huuu
2026-11-14 15:10:14
8
nyonimkumba@369 :
wasiopitia maisha ayowanaona mzeeyupo saw ila anajitetea tu kamanijeuli asingetoloka ila mateso navitisho ndivyo vilivyofanya atoloke
2026-11-14 19:34:18
3
strong women :
Ninae wangu wa la tatu ni hatar sana napiga lkn hasikii kuongea kwa upole wap kwa ukal wap
2026-11-14 18:15:18
4
To see more videos from user @mkakafulani, please go to the Tikwm
homepage.