shekhe achana na mambo ya biashara fungisha watu ndoa 😅😅
2026-11-15 06:04:29
136
Zanzibar Home Decor 🛏️ :
Kwenda kuchukua kwa Fulani sio haram shehe tuache haram ni kuzidisha bei ikawa kubwa sana😭😭😭
2026-11-14 16:13:58
80
🌸Chibeby store🌸 :
Kwaiy nikakutafutie bure au
2026-11-14 15:51:39
13
aishery Collection 👗👜🛍 :
kwaiyo ss tutakula wap jamn🥺
2026-11-14 14:34:40
17
plascon :
😂😂😂hata hapo mtaa wa pili akienda atauziwa bei niliyo mtajia mimi, hapo wafanya biashara tunajuana wenyewe 😂😂😂
2026-11-14 18:29:10
26
Heis Klein :
KWANI BEI KAPANGA MUNGU JAMANI 🙄🙄
2026-11-15 12:17:46
2
Deequte🦋 :
Imewi nikuta pochi ya 30000 nikanunua kwa 60000 nikataka pochi nyingine akanambia hii ni 45000 afu ilepochi wek ilopita nimemnunulia dad 25k ndo nikagundua at ile 60 alinipiga
2026-11-14 14:31:29
12
Mbena OG🦋 :
Haina shida mradi nile
2026-11-15 12:20:12
1
Simas Tech :
sio haramu kaipata wapi jamani
2026-11-15 08:23:22
1
Sapna mamy :
🤣🤣Toba tukale wap
2026-11-15 15:09:36
1
Yunus Abeid :
Dah!!!!!!
2026-11-15 04:24:54
1
Dokii storebackup :
Dah nimeumia sana😂😂😂
2026-11-14 13:28:44
6
Tembo Sportswear :
2026-11-15 19:18:45
1
Miss Olii👩🦰💞 :
tulikuwa na mada iyo kanisan ila mawinga walishinda kwasababu biashara adi iwe biashara lazima iwe na faida ata mtu anaeenda kununuwa mzigo china elf 1 kuja kuuza Tz Elf 1500 iyo miatano siyo halali bora umuuziye kwa ile ile buku sasa kama ukichukuliy mzigo buku ukauza buku apo akuna biashara kwaiy siyo dhambi na siyo haramu na siyo dhuruma
2026-11-15 16:11:05
0
Riymu Fashion🛍 :
kumbe mawinga tunakula avya haram[Tears of joy]
2026-11-14 18:27:34
0
smart_dodoma :
😂😂😂😂😂😂
2026-11-15 14:03:10
1
Abdull_Invest :
Umuhumi ni transparency, lazima umwambie mteja kuwa unachonunua sio mali yangu- mimi agent. Ila sio kuuza kitu as if its yours. Ni haraam kuuza kitu usichomiliki.
2026-11-15 05:34:21
0
Kinyogoli Pazzi jr :
haram vp kwan mungu katika muongozo anasemaje anasema fanyeni biashara mtakayo kubaliana sasa je haram iko wap shekhe?
2026-11-15 08:53:01
0
ذات هيبة❣️❤️ :
Amefikisha ujumbe ametimiza wajibu wake kam shekhe kutoa ukumbusho
2026-11-15 14:25:21
1
Chuna _cakes❤️ :
Kumbe ni haram 😂😂😂 ntatubu tu kwakweli
2026-11-15 19:19:49
1
BABA REE :
ilinitokea alaf namuona kabisa lakini m namsamehe yupo kwenye utaftaji
2026-11-15 18:05:32
1
aneth mosha :
2026-11-14 18:28:30
0
To see more videos from user @hammy_trendz, please go to the Tikwm
homepage.