@somahosea46: Kwanini Mungu hakumuua shetani ninaposema Mungu hawezi kumuua shetani sijamaanisha HE IS INCAPABLE OF bali nimemaanisha HE CANT maana yake kuna sababu inayomfanya amuache asimuue na sio kwamba hana uwezo wa kumuua, #tiktoktanzania🇹🇿 #fyp #tiktokkenya
Kwahy Mungu alishindwa kumfunga huyo shetan akaacha tupambanae nae sisi kwel
2026-11-14 18:13:44
7
G sonny Tz :
mathayo10:28 imeandikwa
Msiwaogope wauao mwili, wasiweze kuiua na roho; bali mwogopeni yeye awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum.”
So kwann MUNGU ashindwe kuiua roho wakati ana uwezo wakuua roho namwili?
2026-11-16 18:19:46
2
uriahlittle.uk :
Kaka umeelekeza vizuri Sana 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
2026-11-14 23:12:18
13
Mankilo :
Yani uwe na uwezo wa kujua vyote alafu uumbe kiumbe kije kikuasi.. Sasa kipindi unaumba ukujua kita asi na je huo uasi umetokana na nini wakati huyo Mungu ni mkamilifu... Hizi stori za kwenye biblia ni man made
2026-11-15 09:37:42
10
Mimi Ni Mimi.(Mwanabinadamu) :
in short tom akifa Jerry hawezi act
2026-11-17 11:55:52
1
𝗠𝗮𝘁𝗵𝗮𝘆𝗼 𝗦𝗮𝗻𝗴𝗮 :
Sio kwanini hakumuua kwanini alimuumba?
2026-11-15 11:11:17
11
Andrew Matias :
umeelezea vzr sana asiekuelewa mpaka hapo basi🥰
2026-11-14 19:59:14
9
༒ 0g MWETA༒@255🛩 :
Sasa mungu anawakilishwa na sisi tunamuwakilisha kwa nani
2026-11-14 17:44:16
5
Super jr :
shetan yupo na tunatamba nae 😂😂😂😂
2026-11-15 00:04:30
6
DPM :
je shetani alitoa wapi roho ya uasi?
2026-11-17 20:59:31
1
shilinde☺️ :
yaan hii fkra sjui itaisha lini yaan kamekomaa kusimulia nadharia za watu
2026-11-14 17:12:00
5
sergé :
ukweli iyo brother MUNGU akulinde
2026-11-17 07:19:28
3
Benediction Israel :
Sihitaji nyongeza. Nimekuelewa vizur sana kaka🙏
2026-11-15 06:01:36
6
Dineo_Tz :
kama una hoja za kumtetea mungu wako nitafte tubishane kwa hoja njoo uniambie kwamba mungu anahona Kila kitu ila binadamu anavyojalibiwa alisinzia 🙂sawa
2026-11-14 20:16:26
6
JACKMAN :
Yani ni kwamba mungu amemshindwa shetani ili ndio jibu usizunguke
2026-11-14 12:02:55
5
kelvinkihongosi12 :
hosea bro umemalizaaaaa
2026-11-14 19:16:24
2
Lwinga Judah :
Kiufupi Mungu anataka tuone thamani yake kwamba yeye ndio ananguvu kuliko kitu chochote ndo mana kampa shetani nafasi ko binadamu ana machaguo mawili kuamini Mungu au shetani na wote watakao amini katika Mungu hao ni washindi na ukisikiliza ya dunia ujue wewe sio wake.
2026-11-14 19:29:49
5
Faustin Niyonsaba :
asante
2026-11-15 21:07:23
1
ashirafy :
amen
2026-11-17 16:01:38
1
Tezzo :
Kaka nakubali sana kazi zako ila fanya maandishi hapo juu siwiwe hadi mwisho wa videos zako kazi njema kaka
2026-11-15 18:35:44
1
Hezekia1@ :
vipi kuhusu moto WA jehanami
2026-11-17 17:49:22
1
Juma Kombo :
Kwani shetani ni nani?
2026-11-17 16:46:03
1
Kavira Veila :
ndiyo ndiyo
2026-11-16 16:29:18
1
wakanji baraka :
Mimi ni muislamu lakini nimekuelewa vizuri sana umeelezea vizuri mungu akubariki
2026-11-18 05:48:38
1
To see more videos from user @somahosea46, please go to the Tikwm
homepage.