@emmanuelmbegalo:

fogo
fogo
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 11:39:56 GMT
9670
342
17
28

Music

Download

Comments

kingkonk09
king konk. :
wizara ya kilimo wangefanya jambo unaelimisha sana.
2026-11-14 12:30:21
2
don_suprano
Don Suprano :
sasa hv ma influencer wameingia kwenye kilimo wanatoza 250k-300k eti kufundisha wakulima kwenye tour zao....Wakati watu wa chaka hiyo 300k kashapiga hesabu ni mtaji wa robo ekari
2026-11-15 14:22:44
1
user3132195318478
user3132195318478 :
fogo hizo dawa zote unachanganya kwa pamoja
2026-11-15 14:08:13
0
shabani.jumanne85
shabani jumanne :
kaka naomba namba yako
2026-11-16 04:02:55
0
ianf277
Top Talaka Tz🇹🇿 :
FOGO CHAKA TO CHAKA. Hapo ni wapi
2026-11-14 13:43:05
0
ibu12star
Mr Ibrah+255⏱️🔥🫀 :
Bro nakufatilia sana kwenye harakati zako maana nami nimeingia kweny kilimo cha nyanya na kwa tuliopo kigoma madawa mengi hakuna hata mbolea za maji kuzipata ni ngumu sana
2026-11-15 09:58:27
0
bad_gal_.kariri
🫧car3n🫧 :
Na mahindi ndugu.
2026-11-15 10:41:17
0
husseinmaneno
husseinmaneno :
mpo wapi
2026-11-14 16:47:06
0
hassan.yunus59
HASSAN YUNUS :
Dk dime
2026-11-15 05:33:01
0
user4552241444630
user4552241444630 :
vip mpunga pia inatumika hiyo mbolea ya maji
2026-11-14 19:41:55
0
ianf277
Top Talaka Tz🇹🇿 :
Nauliza mbolea ya kupandia Karanga ni ipi!?
2026-11-14 13:44:28
0
clement.lemanya0
Clement Lemanya :
👏
2026-11-15 17:52:07
0
To see more videos from user @emmanuelmbegalo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About