@makaziborabuilders: Haka ndo kanyumba ka kuanzia maisha! Huna haja ya kusubiri mpaka uwe na uwezo wa kujenga nyumba kubwa. Unaweza kuanza na nyumba ndogo yenye mpangilio mzuri, muonekano wa kisasa na inayokidhi mahitaji yako. Kumbuka, nyumba ya ndoto zako inaanza na hatua moja! Karibu Makazi Bora Builders kwa huduma za RAMANI • UJENZI • FINISHING. Kuanzia idea mpaka nyumba yako inakamilika! 📍 Goba, Njia Nne – Dar es Salaam. 📲 +255 793 622 492 #MakaziBoraBuilders #BuildingYourVision #Ramani #Ujenzi #Finishing

MakaziBoraBuilders
MakaziBoraBuilders
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 11:43:21 GMT
63734
3105
40
233

Music

Download

Comments

mr..hajj
Mr Hajj🇹🇿 :
hiyo 20m ni bei ya nyumba au kiwanja sijaelewa hapo
2026-11-17 10:36:40
11
___prosecutor
KEVIN :
Nitajenga na nyie 2028 inshallah🙏🏾
2026-11-16 17:49:27
13
exaudy.lazaro
Exaudy Lazaro :
20 inamaliza
2026-11-14 17:47:00
1
sangajr6
sanga jr :
iyo 20m ni bei ya kiwanja au nyuma😂😂😂
2026-11-15 16:51:35
4
donsmallville007
Thomito :
wekeni details watu tufanye biashara ...tujue chumba kimoja au chumba na sebule
2026-11-14 19:36:45
1
vinnie_l0v3
mtu makini :
serikali inasema hakuna plot ya 20m*25m 😄
2026-11-16 13:18:14
3
mohammedhamza_0
mohammedhamza177 :
nzuri sana na bei haiumizi ni rafiki kabisa
2026-11-15 19:08:48
0
worldwide_expedition
worldwide_expedition :
mnapatikana wapi
2026-11-14 20:43:03
0
barakamtanda
G SmartFix :
yani nyumba ya ~15m ndo yakuanzia maisha?
2026-11-18 16:06:09
0
deus13219
💦Dęüs :
15M anawezakan
2026-11-18 14:48:41
0
calibre__xxl
Herman Hery :
🤣🤣🤣🤣 labda fence
2026-11-16 15:52:05
0
mesutmanzijr
Mesut Manzi jr :
iyo ni dream house yangu 🙏
2026-11-17 10:55:49
0
sigarambi
sigarambi :
..umeandik kanin ety😅
2026-11-17 15:20:26
0
thelil.x
𝕸2𝖏 𝖙𝖍𝖊 𝖈𝖆𝖘𝖍𝖎𝖊𝖗🦅 :
Good
2026-11-19 12:44:44
0
georgemukulembez2
X@tentacion 🤓 :
je bei ya kujenga nyumba yenyewe ni shingapi?? ama je bei ya kununua nyumba yenyewe ni shingapi??
2026-11-16 16:32:32
0
yunussuleman60
Bin Suleman :
inavokaita kanyumba wakati wengine hata ni ndoto kubwa
2026-11-17 14:05:16
0
makolomissangu
Domako :
seriously
2026-11-16 17:23:15
0
barakamtanda
G SmartFix :
yani nyumba ya ~15m ndo yakuanzia maisha?
2026-11-18 16:05:29
0
shamsiseif135
shamsi :
kweli au tunapeana moyo tu
2026-11-15 17:42:30
0
krishi.all.fashion
krishi :
mwijaku angesema bilion moja
2026-11-15 16:04:37
0
silentone_01
THE SILENT 𝐎𝐍𝐄🦁 :
bei gani inamaliza hii nyumba
2026-11-15 15:36:27
0
premierpoolbuilders
PREMIER POOL BUILDERS :
kazi nzuri 🫡
2026-11-15 12:01:01
0
mwilemkangwa37
Mwile Mkangwa :
Bei yake ya ujenzi ikoje Boss?
2026-11-19 20:32:34
0
abasiabdallah198
Abasi@hope :
umezingua
2026-11-15 10:20:42
0
gilbert.liganga
P :
🔥🔥🔥
2026-11-14 12:04:56
0
To see more videos from user @makaziborabuilders, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About