@jodn_dona: kwan mnaonaje...Team Doom #movie #movies #foryoupage #tanzania #swahili

Dona
Dona
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 11:59:20 GMT
13109
1334
57
24

Music

Download

Comments

suleimansalvatore
🇳🇴 Sulæimån Sålvåtøræ 🇹🇿 :
Kwani Dr. Doom ni villain? He's not a Villain, he's just misunderstood 😂😂
2026-11-14 16:01:51
0
dlonely1
Lonely :
Oya Mzee so poa lakini kwenye last episode angalia watoto wa scarlet witch wamerud plus vision,sentry,captain America Bado mzee so poa 🔥🔥🔥
2026-11-14 15:42:28
1
youngsijo
sijo kidd🥷🥷 :
unasema avengers hamana chance we ndo director wa movie? haiwezekean main characters wafeli haiwez kutokea kwenye movie yoyote
2026-11-14 19:24:58
0
klino.vybs
klino.vybs :
Kaka ongelea super man
2026-11-14 13:34:41
4
truthtz_07
𓆩 Truth 𓆪 :
Was mboga necessary
2026-11-14 18:14:32
1
w.o.c_boy
woc⁹ :
nisaidie Dr Manhattan vs Dr doom
2026-11-14 13:06:45
0
basilisk008
🍀.Osterman :
Nina imani na Tobey Maguire &Loki bro
2026-11-14 12:12:52
1
muswadiqomar
M_nameless :
mm nko upande wa dr. doom
2026-11-14 12:11:36
3
mgk98rs8
The judge Himself :
watu mnaonea wap hizi
2026-11-14 18:11:50
1
yaa_wad
yaa wad :
we unawachukia avenger
2026-11-14 12:37:41
1
kingrobined
Robin jr :
😂😂😂😂 Bado hujagundua kitu we endelea kuchambua vitu vidogovidogo , ukitaka kujua nani atashinda kwenye Doomsday angalia hapo kwenye hizo "A" alaf fananisha na movie zote walizoshinda avengers na walizoshinda utapata jibu
2026-11-14 14:54:46
0
scoper_064
Scoper de Brown :
kaka zingatia logo yake ndo utaelewa nan atashinda
2026-11-14 16:18:54
1
chizo_boy_official_2
Chizo Boy :
apo dr doom tu ndo wakuweka sawa 😂
2026-11-14 18:39:45
1
stanford.mafulu3
STANFORD MAFULU :
uzuri watu wa combat Fighting tuta- enjoy..Gambit+ shangchi+ yelena- us Agent+ winter soldier ...hapa Nimefunga hesabu
2026-11-14 12:17:04
1
sanart909
𝖘𝖆𝖓 𝖆𝖗𝖙𝖘✍️ :
kaz wanayo
2026-11-14 12:07:58
3
im.kapexa
i'm Kapexa :
Wambie wambie dona mm nipo
2026-11-14 12:08:43
1
lennox.sirili
Lennox Sirili :
dah we jamaa eti kwaajili ya mboga hahahaa ila captain America steev 🙌🙌
2026-11-14 13:20:34
1
juniodavid0
DevyM.N.Y.M.B. :
Thor atapsta nguvu za babake( ordins storm),hapo ndo thor ataonekana na nguvu zake kamili kama kwenye comics.
2026-11-14 16:16:50
0
eliahgoat
ELIAH_EDITZ🥶 :
sahiv wengi saana wanamsapoti victor von doom
2026-11-14 15:19:42
0
ezelkhan5
Amor 😎 [ 170 p@int ] :
kaka me nisha comment sana kweny post zako ulizo ongelea kuhusu hii movie. na nikasemq marvl wameleta usenge wao katiri akiwa anaguvu sanaa wanaishia kuongea nae tuu afu katiri anabadirik anakua na nafsi safi movie imeisha. rudi nyuma wamefny nin kweny fantastic 4 kwayule silva nini sijui... napata moto hadi nakosa point😎 ila hii movie razima iwe na sehem mbili ikiwa na sehem moja tuu watakua wameharibu sanaaaaa
2026-11-14 15:23:27
0
glenoo0
len 004 sad boy :
lakini you know ni movie so tuna eza fungwa macho sai lakini it's mus avengers wata win
2026-11-14 17:08:17
0
derwey02
...... :
doom watamshinda kwenye secret wars 😂😂
2026-11-14 15:40:42
0
legendsneverdie017999
XXX-999 :
Yeah tunajua hawana chance that’s why kuna avengers secret war
2026-11-14 19:00:08
0
martin.a.57
SUWETO《ML50》 :
hiyo movie tayar wamesha ihalibu ☝️
2026-11-14 16:04:22
0
mussa.ubuntu
mussa :
kk unajua
2026-11-14 17:03:30
0
To see more videos from user @jodn_dona, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About