@monyopromax_: Azim Dewji ametoa kauli kali dhidi ya Murtaza Mangungu, akimtaka kupunguza kiburi na kuacha kujiona yuko juu na kumhoji anajiona nani hadi anakuwa na mwenendo huo. Aidha, amemshauri Mangungu kuwa kama kweli anaipenda Simba, ni vyema akaondoka kwa amani na kuipa klabu nafasi ya kuendelea. Pia amewatoa hofu mashabiki kuhusu uchaguzi, akisisitiza kuwa utafanyika #simba #sports #trendingreels #goviral
samahan lakini Mimi n mwana simba naomba kujua Azim dewij ana cheo gan pale Simba plz naomba kusaidiwa kjua
2026-11-14 19:34:23
11
lilembehj@ :
ngungu Toka hapo Simba hufai kuwa kiongozi
2026-11-14 19:04:27
6
💸💸💸 :
Toka mangungu awe kiongozi hatujawahi kuwa na kombe la ligi na tulifungwa 5 akiwa kiongozi na kauwa nguvu za matawi zote nchin yule mzee ni yangaaa
2026-11-15 05:26:16
4
Stig jr :
timu iuzwe isiuzwe shabiki anataka furaha timu ishinde kwani kuna maslai gani mengine kwa shabiki
2026-11-14 23:18:24
3
atifu :
Timu sio ya Familia hii ni ya Wanachama
2026-11-14 21:16:09
2
twalibkabunju :
kusema kweli wanasimba ndio wanaiuza timu yao wenyewe wasipokuwa na ushikamano na umoja wasiangalie mwenye pesa wawe na ushikamqno na kuondoa madudu yaliokuwepo katika timu na kuinyonya simba ni timu kubwa sana inaweza kujiendesha yenyewee na sio kuendeshwa na mtu mmoja na mwenye uongo kila mwaka
2026-11-14 21:28:57
6
alfonce camill 88 :
timu iuzwee tugawane sisi😂😂
2026-11-15 06:19:40
2
Mwema Eliudi :
gari zipo wapi za mashindano ya Simba na stell adbijan?
2026-11-14 19:14:23
2
minzamikomangwa :
walete kati
2026-11-15 03:59:50
1
Hanifah Omar :
Mangungu tuachie simba yetu
2026-11-15 15:09:59
0
joycekasunga :
Kabisa
2026-11-14 18:39:24
1
DLS :
mzeee hana leta siasa kwenye football
2026-11-15 10:17:27
0
stevb :
Au tuwaandalie pambano kwanza kbla ya uchaguzi
2026-11-15 07:22:05
0
HP :
kumeanza kuchangamka
2026-11-15 09:28:02
0
Jed mackay :
2026-11-15 02:58:58
0
user6544829768737 :
ngungu anatuvurugaa aseepeee
2026-11-15 04:11:03
2
amina :
simba ipo kila scheme nchi mzima kwa hiyo sio kosa mwenyekiti kuongelea akiwa lindi .na mangungu sio mwenyekiti wa simba dar .ww mzee atukutaki hii sio timu ya familia
2026-11-14 17:24:11
4
jacksonmmbando855 :
wanasimba pambaneni mangungu aikomboe Simba Simba si Mali ya family 😁
2026-11-14 21:42:06
3
mnyaluvagha :
karaaaaaaamoooooo[Tears of joy][Tears of joy][Laugh approved]
2026-11-15 05:05:44
2
Thabeet22 :
sema kimeumanaaaa🤣🤣🤣
2026-11-15 05:03:52
2
nasota :
huyu mzee anaongea kama nani kwenye timu? ni msemaji wa timu ama mmiliki ama mfadhilii
2026-11-14 19:20:35
2
SAHIM :
MANGUNGU SIMBA IKIFANYA VZR ANA UMIA SANA
2026-11-15 06:19:53
1
Baraka Shabani :
kama vp tuwaandarie uringoo nishachoka maneno yao wamekua kama wanaak
2026-11-15 06:49:21
1
Mwema Eliudi :
tatizo na nyinyi mnataka kuweka Simba mifukoni mwenu
2026-11-14 19:13:23
1
Yusuph :
ukweli huu haujifichi sio mda utajionesha
2026-11-14 17:56:49
1
To see more videos from user @monyopromax_, please go to the Tikwm
homepage.