Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@duyenchamchi2: Rẻ lắm #bepnuongthanhoa #xuhuong
duyenchamchi2
Open In TikTok:
Region: VN
Saturday 14 November 2026 13:35:50 GMT
1030
1
0
0
Music
Download
No Watermark .mp4 (
7.79MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
5.39MB
)
Watermark .mp4 (
7.91MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @duyenchamchi2, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
#я_живу_с_болью_в_душе #скорость #сердцевшрамах #россия #азербайджан #турция #лимончик #рекомендации
12 thần hủy diệt liệu có đủ sức? #xuhuongg
bocchi laugh #bocchi #hitorigoto #bocchitherock #anime #meme
" رجال الفجر " تكبيرات رجال الفجر داخل جامع الحق المبين #يلا_نصلي #رجال_الفجر
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Faris Buruhani, amewataka viongozi waliopewa dhamana serikalini, ndani ya chama na kupitia wananchi kuhakikisha wanasikiliza na kutatua changamoto zinazowakabili wananchi bila kusubiri viongozi wa ngazi za juu kufika katika maeneo yao. Buruhani amesema viongozi hawapaswi kusubiri kiongozi mkuu afike ndipo waanze kushughulikia kero za wananchi, akisisitiza kuwa hata changamoto zinazoonekana kuwa ndogo zinapaswa kutatuliwa kwa wakati. Akizungumza leo, Novemba 28, 2026, alipowasili katika Kitongoji cha Puma mkoani Singida, Buruhani amesema amefika mkoani humo kwa ajili ya kufanya vikao vya kiutendaji pamoja na kutembelea vikundi vilivyonufaika na mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Serikali. Aidha, amesisitiza kuwa viongozi hawapaswi kuridhika na taarifa zilizoandikwa kwenye makaratasi pekee, bali wanapaswa kujiridhisha kwa kuona maendeleo halisi yanayopatikana kupitia mikopo hiyo, hususan katika shughuli za kiuchumi zinazofanywa na vijana. Ameongeza kuwa jukumu la UVCCM ni kuhakikisha vijana wanapata mazingira mazuri ya kufanya shughuli zao za kiuchumi bila usumbufu, huku wakizingatia sheria na taratibu zilizowekwa. Katika hatua nyingine, Buruhani amesisitiza kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuhusu umuhimu wa uwajibikaji kwa viongozi waliopewa dhamana na wananchi pamoja na Serikali, akiwataka kutekeleza majukumu yao kwa kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa wakati. #UhondoTVUPDATES
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy