mtu akiwa anataka kuachwa huwa anawashwa! mvumilie kama unampenda!!mi mwanamke wa hivo siwezi
2026-11-15 07:32:03
3
PABLOO F215 :
yani brooo ili waone kama tunafikiria mambo mengi ungemruhusuu tuuu uendeee naye iliii ajioneee mwenyewe yy c kaambiwa kifuatachoo ni macho kuona ili ajuwe kwambaa maneno ya kuambiwa hupoteza kila kituuuu..
2026-11-15 07:30:01
1
UNCLE JJ 😜 ❤️ :
ndo maana nataka kuoa sasa bibi wa pili 😏😏😏😏 angalau nipate muraha moyoni 😏😏😏mimi nakapitia pia
2026-11-15 05:08:51
1
Ahmad :
siku ishakuwa ngumu,ila ongea nae kwa upendo tu coz anakupenda
2026-11-15 06:50:50
3
Hamiyu Ramadhani :
Huo muda kufatilia mwanaume siwezi jaribu hata kwa fimbo sahau 🤣🤣napita jaman
2026-11-15 04:07:36
1
Jumanne Ntemba :
the forced love
2026-11-15 06:18:40
1
Biena :
mwanamke mpambanaji Hana huo mda
2026-11-14 18:52:18
1
Ngomange Popo :
umetishaa shehe
2026-11-15 07:09:24
1
opj shabani djafari ramazani :
utaratibu mama
2026-11-15 04:33:47
1
Official flora :
Bnr nenda nae iliwezekana mfundishe na kaz kabisaa😁
2026-11-15 07:32:12
2
Azimamu :
mtu anafosi kitu ambacho hakifosiki
2026-11-16 12:07:13
2
baba nelson :
point mwamba
2026-11-15 08:34:39
1
Mohammed Abass :
kumekuchaaa
2026-11-22 13:10:54
1
V. I. P SESSION 👌👌👌👌👌👌👌 :
Mie naona tu upendo hapo wee nenda nae akichoka atarudi
2026-11-16 04:17:34
1
sura sio looh :
me ndomana staki kuoa mana ntapata kesi
2026-11-15 14:48:28
1
shani :
nakubali mwenetu uko sawa kabiaa
2026-11-15 18:30:54
1
Gy :
ila daah co pouw
2026-11-15 11:12:58
1
MR MBEYA 😎😎💚💚 :
2026-11-15 04:24:59
2
Imanuel Sanga :
ndowalivo wanawake kaka ila mm binafsi aende yeye mm nibaki mwisho
2026-11-15 14:43:52
1
Betty Gange :
na sisi mtuelewe wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli
2026-11-15 06:33:34
1
Mazurui Alwatan :
Dunia sio uwanja wa furaha kwa wanaume
2026-11-15 04:42:36
1
Suleenzi :
binafsi napenda sana mwanamke wa hivyo kama ni mimi naamini upendo
2026-11-19 00:40:04
0
user9319493249383 :
2026-11-16 10:15:10
0
MR PETER :
duh yaani nilijua mm tu nasumbuliwaga kumbe hata huku
2026-11-17 17:33:27
1
Mtu pori :
mapenzi gani wakati umekukuta na mitoto ya kambo?
2026-11-26 10:24:05
1
To see more videos from user @bensemwe, please go to the Tikwm
homepage.