@lennie_alltheway: #foryoupage #viralvideo #kenyantiktok🇰🇪 #motherhood #kisiitiktokres

Lennie
Lennie
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 14 November 2026 14:27:15 GMT
281720
9065
711
3703

Music

Download

Comments

catfam003
Cat family :
unatayarisha mtoto asubui vizuri, after kuvaa uniform na viatu, wakati mnangoja school bus ndio anakuambia anaskia kupupuu.
2026-11-15 03:35:12
205
luckyl084
Lucky Lucy :
Wangu ndo hukumbuka place aliumia mchana akicheza na sasa lazima uamke umpake mafuta😩
2026-11-14 19:57:01
220
muthonicharity254
charity kagio :
kama usingizi ikikatishiwa katikati mtu hukufa ,ningekuwa marehemu kitambo,cause tell me why am deep asleep na this young man,mum I want water ,mum I want kususu,🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-17 09:50:28
1
eunice3449
Eunice :
mum amka ulipie wifi 12:00
2026-11-17 16:33:16
0
owidisiproze
owidisiprose :
this is my last ,😂 he could wake up sit down then wake me momma ,momma nataka maji🤣🤣
2026-11-16 03:34:56
0
anne.onlinegroceries
Anne :
I have one who would ask for tea and rice immediately you get into bed 😡
2026-11-14 19:48:55
49
dashingdivabeautyworld
dashingdivabeautyworld :
Haki this is me and my son....I started putting water besides bed before sleep and now he doesn't ask for it 😳
2026-11-17 16:45:55
0
catherinemakori5
Cate queen :
tell me why wangu anaitisha chai saa nane usiku😭😭😂😂😂
2026-11-15 04:17:11
86
tracyvidolwa
Tracy v :
mine is 5yrs she can never disrupt my sleep juu anajua mm ni waya naamka na kofi na yeye
2026-11-15 06:23:18
23
yvonnewabwire
Yvonne 🤍 :
my daughter,my loord
2026-11-17 18:27:00
0
flowerflora82
Florence :
kumbe Tuko wengi😂😂
2026-11-14 17:35:59
78
susan82216
Miss Susan 82216 :
mimi wangu ni wa kupupu usiku😅😅
2026-11-14 18:06:04
28
liliankemunto6
user3451076681803 :
My son always does that.
2026-11-16 13:19:16
1
user8428358657079
feiy💥🇰🇪 :
wangu she waits nizime tu stima...kabla ady nijifunike blanket ndo nasikia mum maji ya kunywa...siku izi naeka Kwa chupa nalala nayo karibu😂😂😂
2026-11-14 18:49:55
42
line.lish
Line Lish :
saa saba usiku ati muuuuuum nasikia njaaaa💔
2026-11-16 03:32:23
13
syma4
sym :
asubuhi anakuamsha ako njaa 😂😂
2026-11-15 09:49:27
6
user4967025756754
* :
That's my daughter every day. Unazima lights tu hivi then "ma'am nataka maji"😂😂😂
2026-11-16 07:57:04
6
user3074442808738
Rey jane :
hizi water bottles za shule zifanye kazi hadi kwa nyumba🤣🤣🤣
2026-11-15 11:07:04
7
42citygal
murima knox 🎀 :
wangu hungoja anione nimeingia kuoga ama kutumia choo ndo pia yeye yake hukuja.. I feel punching his head 😂🤣
2026-11-15 01:58:24
6
panda.park.mabati
Panda Park Mabati Technology :
Mimi naskiaga tu mummy water naskia kufaint😂😂
2026-11-14 18:49:38
7
allyalmo5
From your contacts :
my situation anaesakuamsha saa nane na asip kidogo
2026-11-14 17:27:57
10
mama.boyz55
mama boyz :
wangu hucheza the whole day usiku ndo maumivu huanza. mara kucha mara miguu🤣🤣🤣🤣
2026-11-14 19:15:04
6
rossydhemascott5
Rossy :
uwa ananiamsha nimpeleke choo na mwambia ambia babako akupeleka🤣🤣🤣🤣
2026-11-14 17:35:16
12
rabbetaggieh
rabbetaggieh :
Mine waiting for me to start eating then she comes with a potty ati nataka pupu..🤣🤣
2026-11-15 08:43:50
9
cwwam
c.h.r.i.s.t.i.n.e :
i can relate hua na swear sitaamka analia hadi ananyamaza
2026-11-14 19:58:19
7
To see more videos from user @lennie_alltheway, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About