m2 anavaa nguo anajingalia anakwambia ebu nipige picha anawek na poz alaf anakwambia ngoja nikaongezee hela😅😅
2026-11-14 17:48:54
1
chancebaguma15 :
tufanye nini sasa
2026-11-14 16:31:01
0
Gedeon Mbusa :
ama.mtejaanakwambiya
2026-11-16 06:21:28
0
faraja thomas :
mteja analyze bidhaa furani unamjibu bidhaa hii mimesis boss anakwambia si ufunge duka inaumiza
2026-11-14 15:19:45
2
mariam-na- afya :
mm naonaga bora dukani huku kwenye mitandao anakuulizaaa weeee harafu mwisho anakwambia nilizani labd ni kiasi Fran mfano kaona kbs bei 40000 yy anasema nilizani 6000 inakelaaa vibaya ila kwa mm saivi sijisumbui kabs
mteja mwenye nia hana gubu hana maswali mengi ya hovyo hana mda wa kuuliza kila siku na hanunui mm nikiona tu anaanza maswali mengi namsikiliza na kumuuliza maswali ma3 tu najua hapa siyo mteja wangu ni msumbufu 😆😁
tena umenipa machungu sana et wanasema biashara inahitaji moyo wakati analeta dharau 😂🤣
2026-11-15 19:39:02
0
Brunomars1067 :
👍👍
2026-11-14 18:00:59
0
Samira Hassan 95 :
[Embarrassed][Embarrassed]
2026-11-14 22:06:37
0
To see more videos from user @taidence_riders, please go to the Tikwm
homepage.