Hiyo ni Strategy ya kawaida.
kama upo kwenye site haina 5G au uko mbali na range ya 5G unategemea nini?
Tofauti ya Mbps na MB/s unaijua?????
Mbps = Megabits per second.
MB/s = Megabytes per second.
Kumbuka: 1 Byte = 8 bits.
hata airtel unlimited hawana kifurushi cha 70000 wanakups gb 400 zikiisha hizo inashuka speed mpakz kb 100
2026-11-14 20:04:31
5
Jimmynine The Boss Official :
sorry kirfu cha mbps maanake nn
2026-11-14 17:35:53
0
rw mane :
watu wa.mitandao ni matapeli sana ndiyo mana wanataka kutoa vocha ili wawaibie watanganyika
2026-11-14 20:14:31
7
Katundu bay :
Agent wa Airtel😂😂
2026-11-14 20:01:08
0
xss :
mbona sisi tunatumia halotel router 70k per month 30Mbps na iko poa tunatumia mpaka tunaacha wenyew, speed haijawah pungua
2026-11-14 17:35:23
6
Jackie :
Nunua universe wifi af sajili lain yao 😅😅😅hakuna kununua pocket wi fi yao
2026-11-15 04:31:19
0
Protector 77 :
hovyooooooo
2026-11-14 21:29:17
0
mudyprocess :
asante
2026-11-14 20:07:21
0
JULIUS THE GREAT :
halotell wanazingua kinyama nafikir suo wao tu ni mitandao yote ...wanaibia watanzania wasiojua chochote kuhusu networking ....
2026-11-14 21:22:24
1
SODA🦉 :
Airtel nao 70K 25Mbps GB 800 limit baada ya apo ni 2Mbps
2026-11-14 17:55:33
2
@kerry gee :
Me ndo nimenunua Jana khaaa mbn ivyooo😂🥺🥺🥺
2026-11-14 20:13:06
1
Kipande tz🏋️♀️🇹🇿 :
kwanza hazikai na charge hivyo vipocket wifi
2026-11-14 17:35:53
0
Alliy Hassan :
Kaka siyo Hao tu h ata airtel wapo hivyo
2026-11-14 20:47:40
3
𓆩 Truth 𓆪 :
ukinunua router yenye 10mbs ina maana unapata kwanzia 0mbs adi 10mbs
na sio kwa halotel tu hata mitandao mingne nna ushuhuda ukiutaka😂😂
kwaio solution nzur ni FIBER ambayo ukilipia 10mbs unapata izo izo 10mbs
ila faida ya router ni portable unaweza beba ppte ila fiber inakaa stationary
2026-11-14 19:07:44
0
♉️🎀Tellah vivah🎀 :
Heeee! Asante mana nilikuwa sijui na nanilikuwa najichanga nikakununue hiko hiko
2026-11-14 21:09:11
0
moliqi3 :
Kaka mimi ni akutumie kwa picha linaanza
I nafika mbps mpaka 18 pia izo gb 25 nishapitiliza nipo gb 50huko
Kama hukipendi kiache tu
2026-11-14 17:00:14
1
G eaz Msodoki✌️ :
acha uongo kaka
2026-11-14 15:35:51
3
Vernie_4♡ :
hio ni kwa first time ukimaliza kifurush cha kwanz ukilipia mara ya pili kas haipungui
2026-11-14 16:15:31
1
shabani_plumbing_tz🇹🇿✅ :
watanzania waleo sio wale
2026-11-14 16:36:57
0
rich-mpole👑 :
tusio elew mbps nd nin tujuane hap😁😁😁
2026-11-14 21:48:03
0
To see more videos from user @junefx27, please go to the Tikwm
homepage.