@paza_sauti_media: "Amefika kijana amepata ajali mkimbizeni moja kwa moja akatibiwe, mambo ya kumuandikisha mtamuandikisha akishapata nafuu. - Sasa mnampitisha mapokezi aandikishe akifa jina linamsaidia nini? Mkimbizeni akatibiwe kwanza kuhusu anaitwa nani mtamuuliza akisha pata nafuu" Amesema Waziri Mkuu Dkt, Mwigulu Nchemba
Paza Sauti
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 15:45:08 GMT
Music
Download
Comments
neykavishe :
Wewe Jina Tu Mimi Mama Angu Niliandikiwa Vipimo 850k Kafika Hsptl Saa Tisa Jioni Kaja Kufanyiwa Vipimo Kesho Yake Saa Nne Ata Panadol Ajapewa Nyieee
2026-11-14 18:40:30
1
RamakaJR :
Hizi kauli huwa zinatukumbusha kuwa UTU ni bora kuliko kitu kwa wakati husika, wauguzi waishi kwenye kauli ya PM
2026-11-14 20:03:44
0
mrombo welding &Aluminum :
baba magu
2026-11-14 17:55:58
0
asiamuuh :
kweli kiongozi
2026-11-14 16:26:19
0
hashilhashil82 :
siasa nying
2026-11-14 17:20:15
0
dee🥰 :
kwel kbs
2026-11-14 16:03:41
0
Lourenco5764388 :
Okkk
2026-11-14 15:55:39
0
lupimojr :
ila ukifika hapo hosipitali Wana anzaa kuomba 5000 ya faili na wewe umepata ajali hata mia huna wabadilike kwa kweli
2026-11-14 19:28:45
0
musa charo :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] kama kwer vile
2026-11-14 16:16:41
0
To see more videos from user @paza_sauti_media, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.