Hii nikweli mm sio kuamka tu mapema nlikuwa saa nane ya usiku niko macho naamka naswali naongea nalia nlikutana tu na mtu njia natoka kariakooo akanipeleka sehemu ya kaz basi hata interview sikupewa kila mtu alinishangaa kazin nakudhani mm ni ndug na mmiliki
2026-11-21 06:01:43
1
Rose nana :
yooo merci pour le conseille
2026-11-14 21:28:42
2
WM :
Nasadiki
2026-11-17 08:13:53
2
Debora Damas :
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu na aendelee kukutumia ili utufungue tupate maarifa haya
2026-11-23 07:52:54
0
Mektrid Lusana :
ubarikiwe sana mtumishi
2026-11-22 09:53:27
0
JJ🇹🇿 :
kweli kbx ndugu mungu akubaliki
2026-11-21 07:35:41
0
Evodius :
saf San umenifungua akili
2026-11-14 17:19:16
0
Rose :
ukweli
2026-11-20 11:50:58
0
Nameless :
Nani tena kaniona 😔
2026-11-15 06:22:39
0
flaviana Stiven :
Ee mwenyezi MUNGU nakuomba uniamshe hili nikutumikie wewe nipate mda wa kuomba🧖😭🙏🙏🙏