@mudi_lacunta: #zanzibar #zanzibartiktok #tanzaniatiktok #lacunta #zanzibarlife

LACUNTA
LACUNTA
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 15:58:29 GMT
1997
75
9
10

Music

Download

Comments

mwanaidi.khamis1
Mwanaidi Khamis :
daaaah kula mbakishie baba cku moja nilipiiiigwa nikakoma kucheza huo mchezo
2026-11-14 16:15:28
1
councelor7
COUNCELOR :
yaani ikifika steji ya kijiti kutaka kuanguka tu huwa sili sana mana hayo makofi sio mchezo
2026-11-14 16:19:11
1
middle.girl2
Mammy wao :
Wanikumbusha zamani aisee Duuh ukiangusha wapigwa konde mpka uchutame 😁
2026-11-14 16:49:50
0
mrnassri
big_man :
daaaaaah😂
2026-11-14 17:06:40
0
hija.rashid84
[email protected] :
Michezo ilikua zamani jamani dah!
2026-11-14 16:39:15
0
_bonicho79_
Bonicho79_ :
Kula wali polepolee😂😂😂
2026-11-14 16:17:20
0
selemadridista
Sele Madridista :
Apo mie nilikuwa nina mbio kuliko Usain Bolt
2026-11-14 17:04:22
0
adil_.matona
ADIL_ MATONA🎻❤️ :
me nilikula nikambakshia bibi baada ya baba😂😂
2026-11-14 16:21:08
0
siti9o1
Binti Haji :
watoto wa sasaiv simu na TV tuu mtihan mtupu wallah
2026-11-14 16:11:41
0
mamy_fafaa
mamy fafaa :
kuuuuulaaa mbakishie baba kulaa mbakishie baba aisee sijui kama vitoto vya ss vinajua hii michezo wajo bize na cm na aipad kuangalia cocomelon😄
2026-11-14 16:32:32
0
siti9o1
Binti Haji :
kugusa kwenye guzo eee 😂😂😂 kula mbakishie baba hiyoo
2026-11-14 16:10:33
0
abdallahdullah471
Abdallah Dullah :
kula mbakichie baba kula mbakichie baba ×3
2026-11-14 17:07:39
0
To see more videos from user @mudi_lacunta, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About