@limba.mbale: #Neno #uzima #milele #kwanza

REMNANT LIMBA MBALE
REMNANT LIMBA MBALE
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 16:27:11 GMT
30699
1529
57
103

Music

Download

Comments

mufasa3302
Mufasa :
anachokiongea Bishop Kakobe nakielewa 100%
2026-11-14 19:43:11
7
michaelmbunda905
michael :
Nimeamua nirudi kwa Mungu
2026-11-15 02:59:14
4
tyson_paul_nelson
TYSON PAUL NELSON :
unatuonaje mwanetu
2026-11-15 04:32:03
3
king.david2702
King David :
nishawahi kuenda dukani ili.nimwambie mwenye duka anipe vyombo bure kwamba Mungu anahaja navyo nikasafiri mpaka msoma nilivyo fika dukani nikasikia sauti ikinikataza kwa upole nikarudi
2026-11-15 16:27:24
4
user7810040772179
user7810040772179 :
amen amen
2026-11-14 18:38:16
7
baba.eli66
Baba Eli :
Askofu Kakobe hivi uko wapi sasa
2026-11-15 03:15:57
2
mataro1435
MATARO :
umesema kweli lkn hata huyo aliesema na ww kwa sauti ya upole bado sio yesu fuatilia zaidi utagundua ukweli.
2026-11-14 19:25:05
4
emmanuelmusa5137
Emmanuel Musa1958 :
na watu wengi wanapotea kwa staili hii
2026-11-14 17:55:18
5
ezey.raymond
Ezey Raymond :
mi niliambiwaga huu ushuhuda leo ndo najisikilizia kwa masikio yangu
2026-11-14 18:10:03
3
chars.baba
chars baba :
full gospel, Mungu akulinde mzee umesimamia viwango vya injiri na umetufundisha full .kazi kwetu
2026-11-15 03:09:33
2
lebron_muthandi
Masima :
Spiritual Password🔥🔥
2026-11-15 05:15:12
0
adrianmimata_minister
Minister Adrian Mimata :
Hawa wazee na waasisi wa Imani Tanzania Ni wa kuwatumia mno Kipindi hiki.
2026-11-14 19:32:57
7
allanvolker
allan volker :
mbon uyo mzee pemben anacheka😁😁
2026-11-14 19:56:21
1
alipipi39
Incarnated Angel :
Nakumbuka nikiwa Sekondari nilikuwa na rafiki zangu tuliokuwa tunasali kwenye kanisa la Kakobe. kiukweli tulibarikiwa Akili, Maono na nguvu ya kiroho kupitia huyu Mtumishi wa Mungu. Tulipewa jina la Kakobe group kwa sababu hiyo. Ilikuwa kama utafiki wa Meshack, Shadrack, Abednego na Daniel. Hakika ni kumbukumbu bora maishani mwangu.
2026-11-15 15:17:16
1
user5910406549615
Pawatila Tz :
vdeo ikfka mwisho mtanishtua
2026-11-14 20:56:18
1
arch.victorzacharia
@arch.Jacaranda17 :
🙏🙏🙏 very powefully
2026-11-15 06:13:04
0
mkwamila_c_c
Pastor M C C :
Chukua neno kama huna kiongozi yaani baba wa Imani au kiroho
2026-11-15 06:28:46
2
missfavouritegirl26
missfavouritegirl26 :
Ety eeh
2026-11-14 22:59:03
1
user65582802816336
Trump :
barikiwa sana
2026-11-15 06:58:43
1
benjaminmathias708
Dr Benjamin :
amen
2026-11-14 17:49:06
1
kelvinmachonchory
Kelvin Machonchoryo :
amen
2026-11-14 18:26:46
2
hatikvah_514
Hatikvah_514 :
Hivyo ndio VIWANGO
2026-11-14 18:59:56
2
kamanapaul8
Kamana Paul :
Kwenye kufunga na kuomba kuna vitu viwili vinatokea kuna Astral Projection na kuna Spiritual encounter
2026-11-15 08:48:36
1
81469jhgfsahfaadg
God with us ✝️ :
Askofu Zakaria kakobe, full gospel Bible fellowship, kanisa la Turiani limebaki jengo tu mambo hayaendi.
2026-11-14 21:54:56
1
cleff_voiceover
D CLEFF VOICE OVER :
2026-11-15 07:24:39
0
To see more videos from user @limba.mbale, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About