@arrivaltv: PASTOR TONY KAPOLA! ⚠️ Usilipotoshe Neno la Mungu kwa tafsiri zako binafsi. Maandiko yana maana yake, na lazima yaheshimiwe katika muktadha wake! 📖#viral #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokusa🇺🇸 #tiktoktanzania🇹🇿 #trending
Yaani Tonny ameshasoma audience yake wanauhitaji wa fedha sana, ndo maana anaamua kwenda nao hvyo hivyo, hata Sunday school hilo neno hatukufundishwa abari za fedhq
2026-11-15 07:52:19
155
Masima :
Shida kubwa ya wanatheology hawanaga mafunuo. Bible is the book of all time it does operate with revelations.
2026-11-15 06:30:33
8
THE OSBORN'S :
USISAHAU ROHO MTAKATIFU ANAMFUNULIA KILA MTU KIVYAKE MWAYA, HUENDA WEWE HAUJAKUA KIASI CHA KUFUNULIWA ALICHOONGEA YEYE...
USIJUDGE WEWE SI MUNGU📌📌
2026-11-15 12:00:53
10
. :
Siku tz wakija Kuelewa maana ya MEGA churches na motivational preachers wataacha kutapeliwa ila kwa sasa watachunwa sanaaa
2026-11-15 10:18:30
32
MFUMO KRISTO :
KILA MMOJA NA UFUNUO WAKE KAMA ROHO ALIVYOMJALIA
2026-11-15 10:36:13
10
@witney.wellness :
Ila wachungaji si huwa wanasoma theology yey yake kasoma wapi sasa
2026-11-15 08:24:57
20
Tito Elias :
Huyo pastor tony roho yangu imejikwaa mda tu, anapotosha maandiko,, 2 petro 3:16
2026-11-15 03:47:30
53
42njoel :
Watu wanatakiwa wajifunze biblia pia kwa kusoma wenyewe maana wahubiri siku hizi wanatafsiri nyingi sana, ni kweli siku za mwisho maarifa yataongezeka lakini tuwe makini ni maarifa gani tunayaweka kwenye vichwa vyetu . Hata nyoka pale Eden alimwambia mwanamke ukweli wooote akamdanganya kuhusu kifo tu, na walipokula hawakufa papohapo, pia shetani alipokutana na Yesu jangwani alimjaribu kwa kutumia maandiko na Yesu alijibu kwa kutumia maandiko. Maandiko yanaweza kutumiwa vyovyote na yakaleta maana unayotaka. Kinachopaswa tumwombe roho mtakatifu sana kutuwezesha kuelewa inavyopaswa na si kuweka hisia zetu mbele.
2026-11-15 09:19:05
11
Marko Mabula :
toka ajiunge na kina urberth Angel Osborn amekuwa anaenda against na mafundisho ukimsikiliza preacher za Osborn Kuna namna wanapinga indirect wanapotosha injili ..... uki buy time ukafuatilia hao watu unaweza wapuuza kabisa Osborn
2026-11-15 07:29:13
18
nash ⛑️ :
muda wakufatilia mambo ya makanisa ndo sinaga
2026-11-15 13:45:57
2
@arch.Jacaranda17 :
ulivo fafanua umenikumbushaa Seminary wakati tunajifunza Divinity 🙏🙏🙏.Hatua za kuchambua Andiko
2026-11-14 21:19:08
34
Maven Godhealed :
nilijifunza ukianza kutaka kujifanya mjuaji na kuongeza maana zako na kujifanya upo deep kuliko walioandika utajikuta unapotea na kupoteza watu neno lolote lazima litafsiriwe kwa kutumia kanuni na ukweli ni kwamba hata maandiko yanayozungumzia pesa mengi hayamaanishi pesa kama ukitafsiri inavyopaswa ,Brother umefanya kazi njema sana kuweka sawa huo upotoshi
2026-11-14 22:12:28
24
SAUTI YA lMANI :
pastor Tony yupo sahihi kuitumia mfano huo biblia unaweza kuitumia mifano tofauti ilimradi iendane
2026-11-15 02:31:23
11
JM :
you are very right bro.
2026-11-15 08:54:36
0
Jey :
Brilliant stuff
2026-11-15 04:20:57
1
Jasylove💞 :
kwahyo hela ni kitu kibaya jmn😂
2026-11-15 10:17:02
0
anna1234🇹🇿 :
Siyo robo ni Bible yote ni pesa ivi unajua pesa ni agano afu fedha na Mali ni za Mungu iyo tu ujue watoto wa Mungu ni fedha na Mali tu 2wakoritho 8:19 bible yote ni pesa mimi anaelewa Sana pastor ubarikiwe mimi umenibadilisha akili nafanikiwa mno
2026-11-14 17:20:17
6
Mr.A :
Mistaali miingi huwa Tony anakosea sana
2026-11-15 05:51:33
4
Godlove in Wheels :
Upo sahihi. Tafsiri ya neno hilo Yesu alishalitoa. Tukitengeneza tafsiri zetu binafsi tunapotosha.
2026-11-15 05:46:51
6
Agape Worship Center :
Very True.. Biblia inajitafsiri Yenyewe sio unachukua andiko UNAJIAMULIA kwamba inahusu fedha unakuja kutueza.. Watumishi wengi ni wachumia tumbo na Mungu awarehemu sana...
2026-11-15 14:39:51
2
FRANK MR NOW :
unasema nini wewe
2026-11-15 10:48:17
0
natunae :
@natunae:Ni sawa, lakini Biblia imetumia mbegu mara 250 kwa njia mbali mbali. seed money is a new term ambayo inafit hali ya kifedha ya sasa. So Tony is right, katika hilo. You can use the metaphor ya kilimo kuelezea uwekezaji na it fits well.
2026-11-14 21:44:09
0
Dunstan Adam :
Mungu akubariki sana mkuu kwa kutoa Elimu kidogo kwa ufupi, Nafikili wamekupata sana wale wote wenye kupotosha maandiko
2026-11-15 02:45:16
4
bonimyoung :
Safi kabisa upo sahihi...umeifafanua vizuri sana
2026-11-14 16:51:31
4
𝑺𝒊𝒂 𝑬𝒔𝒔𝒆𝒏𝒕𝒊𝒂𝒍✨ :
Bro nimekuelewa sana, kuna padre mmoja aliwah kuniambia kuwa biblia ina namna yake ya kutafsiri ikiwemo historical background ya ilo neno, nyngne sikumbuki vzur nahisi ni Utamaduni,Muktadha cjui na Theology😅
2026-11-15 00:47:38
3
To see more videos from user @arrivaltv, please go to the Tikwm
homepage.