@chulei_artist:

CHULEI UPDATES🌐
CHULEI UPDATES🌐
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 16:38:20 GMT
62699
2086
284
27

Music

Download

Comments

saba1725
Saba :
Inategemea na nchi, kwani hapo ulipo upo nchi gani??!!.
2026-11-14 18:19:38
54
franklyhansel2
Frankly jr. :
Hapo ilipo Haina mgonjwa
2026-11-14 18:36:17
25
wende.abillah
Wende Abillah :
One own blue blue Yongya, panny, a bulness.No , you and the paper I'll go and you are as a number two who you are a pocatier pan epically , sima , made wazaka pi , t , wow , zoo to jaman , you are your mum was snarling , goodbye , the man yamalini , number where the kids were I follows , you too zuri , laki me sor
2026-11-14 20:29:42
0
user612780881357
Josephy7star :
ilitakiwa amburance ipite
2026-11-14 18:46:20
12
kenned_husler
kenned_husler :
kwenye gari ya wagonjwa huduma inaendelea ndani mgonjwa anapewa huduma humo
2026-11-14 18:58:16
4
martin.gao5
Martin Gao :
ikiwa na mgonjwa linapishwa
2026-11-14 18:39:08
1
wardahaugustino
Wardah Augustino :
ambuulance
2026-11-14 19:49:37
0
m...r823
SNIPER 🇾🇪🇹🇿🇾🇪 :
Emargency
2026-11-14 19:45:25
0
user8282200476127
BIN SEIF18 :
ambulance ilikiwa haina mgonjwa
2026-11-14 19:03:10
6
user1724531915656foo4
Mr Jude-10 :
Ambulance
2026-11-14 19:28:36
0
hasama8564
HASAMA :
gari la wagonjwa linatakiwa lipishwe kwanza lkn apo limesimama pengine halina mgonjwa maana linatakiwa lipishwe likiwa lina mgonjwa tu
2026-11-14 18:30:22
4
lucystorekigoma
LUCY'S STORE KIGOMA :
ukiona hivyo Ambulance haikuwa na mgonjwa, ikiwa na mgonjwa inapita yenyewe
2026-11-14 19:43:12
1
kakakuona.youth.a
KAKAKUONA YOUTH ACADEMY :
kama ambulence imekuta msafara unapita inambidi asimame maana msafara hauwezi kusimamishwa kwa gafla kwa sababu msafara unakuwa kwenye spidi kubwa
2026-11-14 19:41:38
0
saganda94
saganda :
Hata maadui wanaweza kutumia hyo njia kwamba wana mgonjwa kumbe sio lengo msafara usimame wamdhuru kiongozi
2026-11-14 18:24:25
4
abduly.masoudy
Masoudy🍁🍁💫💫 :
sio kila ambulance ina mgonjwa labda hamn mgonjwa🙌🤔
2026-11-14 18:51:36
2
gregory.lutumo7
maarifa 23 :
ni tanzania au
2026-11-14 19:24:07
1
togolani610
Togolani :
kweli umeuliza vizuri na mm naomba nichangoe mawazo yangu Raisi ni kiongozi wa nchi nzima na mgonjwa yupo mahali salama anauwezo wa kukaa zaidi ya lisaa akipewa huduma bila kufika hospital kwahy yeye anaweza mpisha kiongozi apite
2026-11-14 19:39:41
1
barakawaryoba3
BARAKA Waryoba :
ambulance
2026-11-14 19:40:41
0
m...r823
SNIPER 🇾🇪🇹🇿🇾🇪 :
anapaswa kupisha ni kipngoz kwa sababu yule ni kiongoz wa nchi so ikitokea msafara wake umesiamama na kiongoz akafikwa na k2 chochote mfano anakuliwa kwa kipigwa risasi nchi haitokua na amani wanaongoza msafara wote watajib hilo tulip pili gari la mgonjwa mgonjwa wapo wagonjwa wa aina nying tu lakin nitaelezea aina mbili aina ya kwanza ni Emargency na Aina ya pili ni Argency tukiangalia Emargency ni mgonjwa ambae halibyake ni mbaya sana kias ambacho anahitaj huduma ya halibya juu mgonjwa huyo ukimuingiza kweny gar ya kubebea wagonjwa ambay ni Ambulance anaweza kupiteza maisha kwa sababu umesitisha hudum wakati anahitaj hudum ya hali ya juu kabisa kwaiy ukimsafirisha kumpelek sehem hospital nyengine inawezekana asifike na akafariki na tukiangazia Argency mgonjwa huyo ndio ambae anaestahik kupakiwa katik ambulace kwa sababu uwezekano wa kufik hospital nyengine upo mkubwa kutokan na kandishan yake anawez kustahamili kutok ata ikitokea folen barabaran au kupishan na msafara wa kipngoz hivo kiongozi anapaswa kupisha kupita kwa sababu yeye ni mkuu wa nchi
2026-11-14 19:18:41
1
user2149935081459
Dany :
wengi wape huyu ni mmoja
2026-11-14 18:35:52
1
emmanuel.mwakibut
MCHAGA WA KINYAKYUSA🧢 :
iyo gari ata ikiwa na mgonjwa umo ndani mgonjwa anaendelea kupewa huduma
2026-11-14 18:16:02
2
john.mbugua481
mamalao :
mimi nilifanyiwa hivyo ruto alikuwa hanakuja mombasa
2026-11-14 16:50:08
1
godi.gwatanamu
godi gwatanamu :
msafara
2026-11-14 17:31:53
1
chiefbunambi
Chief Bunambi :
kumlinda kiongonzi
2026-11-14 17:59:38
1
selemani4691
selemani :
iyo gar aija towa ishara kuwa ipo ktk zalula ndiyo maana unaiyona aija washable taa za juu izo si muda wote inakuwa na mgonjwa
2026-11-14 18:18:58
1
To see more videos from user @chulei_artist, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About