@nguvundani: Tabia 4 zinazovunja moyo wa mume 💔 Ndoa haivunjwi kwa vita moja kubwa — huvunjwa kwa maneno madogo kila siku. 💔 Malalamiko bila shukrani, ulinganisho, udhibiti, na ubaridi… hivi vinamfanya mume ajione hana thamani nyumbani kwake. Heshima na shukrani ni chakula cha upendo. Mke mwema ni furaha ya mume, na mume mwema ni furaha ya mke. 🤍 Share kwa mtu anayehitaji kusikia hii. 👇 #Mahusiano #Ndoa #UshauriWaNdoa #Wanandoa #MaishaYaNdoa) #creatorsearchinsights