@kipunje: NINA UJUMBE WA KIKATILI SANA LEO KWA KILA MWENYE SIKIO Watoto ambao baba zenu walikataa mimba kwa mama zenu na kuwafukuza kama mbwa, ukazaliwa hajaja, hajui umesomaje wala ulikuwa unakula nini tangu umezaliwa Ila ulipokuwa na kupata maisha ndio baba yule anakuja ili umuonee huruma na umsaidie, akikwambia shetani alinipitia we muulize kwa nini usipitiwe na malaika ili mkafanye maombi kanisani? naagiza leo hakuna kumsaidia baba wa namna hiyo, fukuza kama anakufa na afe kwa amani, imekua tabia sasa wanaume wanakaa mimba na watoto kisha watoto hao wanakuwa kimasikini na kudra za Mungu ndipo baadae baba zao hutokea Ni marufu kumsaidia baba yako ambaye alikukataa tangu tumboni na hata baada ya kuzaliza akaendekeza starehe zake na wanawake wengine huku wewe na mama yako mkilala njaa na kuombaomba misaada kwa watu Kama kuna mtu ataumizwa na ujumbe huu tukutane kesho Lidaz tupigane Mambeghes

Jimmy Mafufu
Jimmy Mafufu
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 16:45:43 GMT
44513
3389
386
104

Music

Download

Comments

_lizzymalla
Miss_ Obadia :
Ila baba et tupigane [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-14 18:24:17
8
kerryelongmail.co
[email protected] :
me 🥹my dady alikuja nikiwa na 25yrs aaaa nimemkataaaaaaaa ....potelea mbali kabsaa
2026-11-14 17:42:05
57
beatricepatric
beatrice❤️💦 :
Kama aujawai pitia ii hali uwezi muelewa jimmy…. Inauma nyie kusoma kwa shida alafu baba yupo busy na starehe zake alafu ukubwa aje… HAPANA
2026-11-15 05:03:40
4
safinasimon592
@safina💝🤍 :
Asante san mheshimiwa👏 Diamond Platnumz n mfano mzuri sana
2026-11-14 18:46:42
19
mrwaleti
mrwaleti :
uko sahihi sana mungu akutie nguvu
2026-11-14 19:26:23
14
plusmarktz
plusmarktz :
baba amebeba baraka zako, ukimfukuza umefukuza baraka zako.. haijalishi alikutenda vibaya kiasi gani bado nafasi yake kama baba yako iko pale pale na Mungu anaiheshimu kwa heshima ileile
2026-11-14 18:27:40
11
munty6869
munty :
na sikuhizi imekuwa kama tabia au fashion kwa wanaume wengi wanasema hao ni damu yangu watanitafuta tu ......
2026-11-14 18:39:51
18
brain_music
Brain_music :
sas mimi inanius nini mzee kama alinitelekeza najua ugomvi wao mbka watelekezane
2026-11-14 19:00:20
4
nyabuelizabeth096gmail.1
Queen Mang'atiii :
Asante kwa kunipa moyo wa kupambania wanangu
2026-11-15 05:11:14
2
suuzziee1
suuzziee1 :
kabisaa yan upo sahihi🙌🏼 hiv jaman mwanamke aliyeachwa na bado mtoto wake anapewa huduma zote 100% naye ni single maza ? mana huwa sielewag
2026-11-14 17:03:48
5
tudeliusj1
Tude lius :
good mafufu your the best 👌
2026-11-15 00:41:07
0
queensarahointex
✨𝔔𝔲𝔢𝔢𝔫 𝔖𝔞𝔯𝔞⭐️ ♑️🎀 :
[Gesture OK][Gesture OK][Gesture OK][Gesture OK]nikonawewe 💯💯💯💯💯
2026-11-14 19:47:46
0
jeniferkaiza8
jenifer kaiza :
noted with thanx
2026-11-14 19:03:47
0
raheli518
RAHELI :
amina baba [Pray]
2026-11-14 19:06:41
0
user7424600630817
⚘️⚘️🐤 :
asante kwa kunipa nguvu ya kumpambania mwanangu atimize furah yakevbila baba
2026-11-15 05:27:03
1
jacksongunda998
Jackson Gunda :
kiukwel nimelelewa na wazazi wote ila umeongea point kubwa sana
2026-11-14 21:29:00
6
user8103881185135
💞💋 :
among🥲
2026-11-14 18:24:40
0
hidaya.mzonge
Hidaya Mzonge :
Good good
2026-11-14 18:35:11
0
kagomadainessgmail
Dainess :
siku hizi wanaume Hawana uoga aise
2026-11-14 19:14:45
6
user419006735661
Priscilla obby :
ila ujue wewe pastor...biblia inasemaje lakini usilipe ubaya bali uulipe ubaya kwa wema....ila pia wema usizidi uwezo kama unacho msaidie tu ili Mungu azidi kukubariki
2026-11-14 17:38:04
0
didaog7
DidaOg :
Ndo mana nimeapa ctakaa nimtafute baba coz nililelewa na baba wakambo toka mdg na hakunibagua aliniita mwanangu mpk alipokufa sasa imetosha!
2026-11-15 01:13:34
2
mwaipajadota255
God's dota :
bana wee ukweli mchungu, mm siwezi hiyo biashara aende alipochagua.
2026-11-15 05:32:54
2
let_it_115
let's live :
KILA MWANAUME ANAVOKUA ANAZIDI KUMSAMEHE BABA YAKE
2026-11-14 21:39:44
3
usnagroup1
user22997576409 :
father mbona unaongelea maisha yangu ni miaka 23 sasa sjawah kumuona hata sura sory napewa ni kwamba mama alienda kumwamby ninamimba aliiikataa .aiseeh... nikalelewa na bibi
2026-11-15 02:49:01
3
ney.beauty71
ney beauty :
Dah uyo Nimimi
2026-11-14 19:02:37
0
To see more videos from user @kipunje, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About