Wakisema Kwenda Mbinguni mpaka ujue kiingereza Wangapi tutaachwa🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-16 15:18:58
66
yobah tz 🇹🇿✅ :
𝐰𝐚𝐧𝐠𝐚𝐩𝐢 𝐭𝐮𝐤𝐢𝐢𝐧𝐠𝐢𝐚 𝐭𝐢𝐤 𝐭𝐨𝐤 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐬𝐚𝐡𝐚𝐮 𝐬𝐡𝐢𝐝𝐚 𝐳𝐞𝐭𝐮 🤣🤣
2026-11-17 11:51:38
43
MALICK :
No English no problem
2026-11-16 21:10:59
21
Liyla :
hiki hiki Cha of course kinatosha 😅
2026-11-16 20:07:00
12
NguMi👊 Jabali, TeKe Ukuta😂🫵 :
Hata waingereza hawajui kiswahili
2026-11-16 08:08:50
7
Dah Irene❤️🥹🤭 :
Sasa me kingereza cha nini😅😂
2026-11-15 16:10:36
28
gladys kadogo👄🫀 :
haha am speeking english in my mind[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] and outside my mind is broken[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-18 19:43:37
1
Suzan Laurence :
Me mtanzania sa kingereza cha nn? ua kinisaidie Nini?
2026-11-16 18:08:13
6
Ms naya💗💋 :
😂😂😂😂😂u know i know
2026-11-16 18:27:43
2
Mama's princess👑❤️🔥 :
sina nida sina kitambulisho sina ela sina chochot na sijali
2026-11-17 16:38:29
9
shebby daddy🇹🇿 :
natafuta mke😂😂🤣😂😂😂
2026-11-21 07:57:52
0
dalfa :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa kinanisaidia nin niachekuwaz nakula nini napatawap pesa niwaze nakingeleza
2026-11-20 13:24:56
1
Maya Maia :
Icho kingereza kinanijua Nina undugu nacho au kiluga changu tu sikijui [Tears of joy]
2026-11-15 11:17:05
5
annahdittu :
Kwan shida ipo wap hata nisipojua lugha zote hadi yataifa kwangu sawa tyu wala sijali ety kikubwa naish bac hayo mengin utajua wewe
2026-11-17 08:04:13
1
isdrones isi 🛸 :
We unajua,.,? eb usinitibue nimeshinda leo salama.
2026-11-14 20:37:00
8
zainah💝💕 :
Nikijue chakazi gan sasa😂
2026-11-17 08:18:39
0
mbaruku$$💥💥💯 :
kwani kiingereza kinanijua mm
2026-11-15 09:11:01
5
Abdul m❣️💞💕💖💘🥀🌹 :
mm sijal baada yakukuona ww umepost kwa lugha ya kiswahili Sasa mm ntajal vp wakat ww ndo ubao na unasomeka kiswahili
2026-11-17 16:33:19
3
jennipher🦋🦋🦋🦋 :
kiswahili inanitosha na kabila langu 😂😂😂😂😂😂
2026-11-16 20:36:56
1
Esta Oscar :
kinanisaidia nn
2026-11-17 15:01:00
1
miss glady :
mbona mi naelewa sema shida kukizungumza🤭
2026-11-20 05:12:29
1
neema cute🌹 :
ilimradi naishi
2026-11-19 20:47:08
1
Maah Efx🦋🦋 :
uzuri najua kukisoma vizur tyu maan yake ndo sijui[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-24 08:31:42
1
@leah.001 :
Nimesha kukataza kuni fatilia🤣🤣
2026-11-17 14:28:37
1
jesca Alfredy :
mm kwel sjar na sitojar
2026-11-16 12:27:49
1
To see more videos from user @blay7897, please go to the Tikwm
homepage.