@surveyor_mligo_simon: KUMBUKIZI : Kama hukusikiliza hii hapa tena mwana SMS. Hii ndio maana ya Sqm. SKWEA MITA au Square Meter Umeni Follow? Mimi Naitwa SMS. Naomba niwe mshauri wako wa masuala ya ardhi. #elimuyaardhi #mtaalamuwaardhi #ukubwawakiwanja #sqm #daressalaam
Mtaalamu wa Ardhi (SMS)
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 17:34:19 GMT
Music
Download
Comments
FETTY BEAUTY SPA :
inachanganya kwakwel
2026-11-16 13:49:31
1
NyiririM :
Sasa hiyo spr m haitoshi chumba
2026-11-15 05:06:18
4
armonmagotna :
Kwahyo sqm 400 ina maan pande zote zinakua na 200sqm?
2026-11-15 08:31:53
4
abubakarlipululu3 :
mimi niliuziwa kiwanja futi 40 kwa 35 hadi leo nashindwa kujuwa kiwanja kina square ngapi
2026-11-19 09:45:32
1
unjuki :
kwann hampendi kuwambia watu mita Moja ina futi ngangi
2026-11-15 06:43:55
2
arenfrida :
asante sana
2026-11-15 16:36:55
1
pm :
Je ikiwa sqm 610 inakuaj
2026-11-21 05:29:24
1
MKD_C. E. O :
hapo napata hadi parking
2026-11-16 12:29:35
2
Einstein_1 :
ekari moja ina sq meter ngapi
2026-11-15 19:01:51
0
Aloyce+255 :
Robo heka hua ina square MITA ngapi
2026-11-15 15:16:00
1
Yunus :
kwaiy kiwanja kikiwa n meter 20 kwa 20 .sawa n square meter 40?
2026-11-14 21:14:23
1
J. A. G. W. A. R :
tofaut ya hectre na acre tunaitumiaje kwenye ardhi mkuu
2026-11-16 12:32:01
1
𝐖𝐢𝐥𝐥𝐢𝐚𝐦 𝐄𝐬𝐜𝐨𝐛𝐚𝐫 :
¼ eka ni sawa na Sqm ngapi?
2026-11-16 06:54:48
1
user13498194560915 :
Naomba na yako mtaalam wa ardhi
2026-11-19 07:16:09
1
user9580566914634 :
au ndo hatua moja sawa na mita moja😂
2026-11-16 19:53:40
1
JB one :
kwaiyo ndo tunauziana sqm 25000
2026-11-18 17:37:00
1
Mr submissive 🙏 :
Asante [Pray]
2026-11-15 17:44:03
1
@humbleman :
asante
2026-11-16 09:00:20
1
Bruth StreamPro :
je ni halali kununua 20x20 ?
2026-11-16 03:43:38
1
Azizi 67wy Msigwa :
asantee kamanda
2026-11-15 14:48:37
1
Emanuel Nestory Robert :
Saaafi sana kamanda, japo Nafahamu
ila nimekutana na watu weeengi sana ambao jawajui maana yake, Barikiwa kaka
2026-11-15 13:39:47
1
Moya11 :
elimu nzuri
2026-11-15 08:24:11
1
kapesa mkuu :
nimekupata
2026-11-15 06:56:33
1
kinase120 :
Kama eneo halipo square unapataje sqm za eneo.?? Naomba kufahamu
2026-11-15 08:01:12
1
Bright with Liz :
Asante sana kaka. Walikuwa wananichanganya
2026-11-15 11:41:30
2
To see more videos from user @surveyor_mligo_simon, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.