@jamiidiary: Kampuni ya Rafael Advanced Defense Systems imezindua rasmi kombora lake jipya la aina ya cruise linaloitwa "Super Ice", ambalo limebuniwa kwa lengo la kuendelea kuwashangaza maadui wanaoweza kuwa wamejifunza mbinu za kijeshi za Israel katika miaka ya hivi karibuni. TAZAMA VIDEO #jamiidary #fypシ #tanzaniantiktok #tiktoktanzania🇹🇿

Jamiidiary
Jamiidiary
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 17:41:04 GMT
17900
531
27
18

Music

Download

Comments

shafiboy03
Shafi boy💥 :
Halifiki hata Iran.
2026-11-15 11:54:37
0
johnsonlekashu
Johnson :
swali lina baki je Tanzania inatambulisha nini kwenye technology za kijeshi....uvungu niwetu kujificha ni mchezo wetu wakila siku amani idum🥰🥰
2026-11-15 06:59:04
0
dotomtei
dotomtei :
tatizo makombora ya cruise hayana uwezo wa kuruka umbali mrefu kama Icbm na slbm
2026-11-14 20:53:34
0
mudmacha4
kip sjasikia :
ukiona kombora linabebwa na ndege tunajua masafa ya kuruka sio makubwa san
2026-11-15 05:35:43
0
nepraco_official
𝓝𝓔𝓟𝓡𝓐𝓒𝓞 🇹🇿🤝🇨🇳🇮🇳 :
wasilaha file advantage systems imetambulisha kombora jipya linaloitwa sifa ice na ndugu zangu ili siku bora la mchezo sipo ice ni kizazi kipya cha kombora la ice cream lakini safari hii wameongeza makali kichwa chake cha kivita kina uzito wa kauli 1000 sawa na kilo 4584 fikiria hilo ni mara nne ya uzito wa kichwa cha kivita cha toleo lililotangulia cha kushangaza zaidi licha ya uzito huo kombora hili linadaiwa kuwa na kasi kubwa zaidi na uwezo wa kusafiri umbali mrefu zaidi na hapa ndipo mambo yanapozidi kuwa mazito linaweza kurushwa kutoka kwenye ndege za kivita za israel zikiwemo f35,16,015 kwa kifupi israel inaendelea kusukuma mbele teknolojia yake ya kijeshi swali linabaki dunia ya vita vya kisasa inaelekea wapi sasa
2026-11-16 18:16:08
0
mwanamukiwa
Mwana Mukiwa :
Kazi LA ilo bomu nn kuuwa watu AU kuponya watu siyoni kilicho fanya usifu ilo bomu sijui unafulahiya nn
2026-11-16 11:07:22
0
nurudiniddy1
TANZANIA :
ISINGE KUWA IRAN MPAKA LEO TUNGEKUWA TUNAMUESHIMU MAREKANI NA ISRAEL
2026-11-16 05:06:38
0
user87881329357912
user87881329357912 :
Hana lolote propagunder nyingi huyo Israel Haina lolote ni mchumba tuuu
2026-11-15 08:01:45
0
poshokahawa
poshokahawa :
baba yake ni bwana wa majeshi
2026-11-15 11:02:46
0
dogod297
Balozi wa Mungu Duniani :
2026-11-15 06:57:01
0
user23027040147168
luqx Russia :
nilizani Lina AI
2026-11-16 05:28:28
0
brayzon1
brayzon :
wambie wakaichokoze iran ili kupima uwezo wake..🤣🤣🤣🤣
2026-11-14 21:17:36
0
johhmike5
johhmike14 :
mkwala tu mwambie alushe Irani aona mvua ya moto
2026-11-15 23:09:50
0
user1808808852586
faizajeizan :
Mnasifia makomboraiko lita kuuwa weee
2026-11-15 19:39:07
0
gordiusmasillago
gordiusmasillago :
Waanze majaribio kwa Iran 🤣🤣🤣🤣
2026-11-16 14:09:39
0
dogod297
Balozi wa Mungu Duniani :
💪🇮🇱👏👏👏👏👏👏👏👏👏
2026-11-15 06:54:49
0
bishop.prophet.a
BISHOP PROPHET A.P CHUWA :
🇮🇱🇮🇱🇮🇱💪💪💪
2026-11-16 18:01:50
0
To see more videos from user @jamiidiary, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About