Huyu baba anaimba huyo kaimba na wanachuo udom nikumbushe na nahisi kupendelewa 🙌🙌🙌anaweza mnooo na anaimba kwa hisia
2026-11-14 20:41:07
37
Teddy❤️🇹🇿 :
Hatimae nimeiona video😁
2026-11-26 01:04:54
0
@qute_zuu :
nyimbo inaitwaje jmn
2026-11-24 10:37:58
1
nipherlamu :
YESU wewe mali yangu ni kweli haya ya Sasa yanapendeza lakni mwisho wake ni upotevu my best line😭🥺🥰
2026-11-14 19:27:06
22
Amina Mina :
Kumbe ni huu wimbo🙏🙏
2026-11-19 12:23:09
2
Gee❤️ :
huu wimbo nmeusiza siku nzima sijachoka
Mungu awabariki
2026-11-16 09:38:54
9
Musty@$ :
kaka ameimba kwaihisia sana mungu akutunze kaka 🥰
2026-11-20 16:18:00
6
Abundant Kid :
hii kwaya ni ya wapi?
2026-11-16 00:10:08
0
Lidia_Mganga :
Naubeba msalaba nikufuate , nyuma ninaacha vyote nilivyonavyo, Yesu wewe mali yangu🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥
Ni kweli haya ya sasa yanapendeza, ila mwisho wake ni upotevu🙌🙌🙌🔥🔥 Yesu wew mali yangu🙌🙌🙌🙌
2026-11-18 17:17:59
7
𝑩𝑩𝑴 :
Kazi nzuri people of GOD 🙌🏾
2026-11-20 06:33:23
2
TETEKO OG 💫 :
sisi sote TWAKOMBOLEWA 🎉
2026-11-16 12:01:29
4
Irene Joseph :
Wimbo mzuri sana MUNGU awape Neema mlete Wimbo na mwingn
2026-11-20 19:02:41
2
Njulumi :
yesu ww Mali yangu 🙏
2026-11-20 04:08:03
3
Ezra Petro :
Naubeba msalaba nikufuate Yesu
2026-11-20 07:51:55
2
John akaro :
kazi yenu nzuri hongereni sana
2026-11-23 15:46:33
2
Anty Lucy :
mungu awatie nguvu
2026-11-18 21:19:49
0
saphy lord :
huyu kaka amewai kuimba paradise mbeya??
2026-11-17 19:07:13
2
Neema odeni :
mwalimu Frenk yuko vzr
2026-11-19 11:50:15
2
lucky bahati :
Amina kubwaa wimbo una mafuta na balikiwa Sanaa🙏🙌
2026-11-25 08:14:54
1
triple TG :
hatimay Tunduma tumepat waimbj jamn 👌🏻👌🏻👌🏻
2026-11-19 21:26:25
2
Veronica Benjamin :
Nyimbo inaitwaje
2026-11-16 07:19:28
3
To see more videos from user @tumikenichoirtumi, please go to the Tikwm
homepage.