inauma sana ety sahii naenda kupima wadogo zangu ๐ฅบ
2026-11-15 06:51:33
3
judithmollel0 :
Me sa hv nshanunuliwa gaun pochi na kofia na sikonkoo zipoo ndaaaani kila saa naenda chungulia๐๐๐๐ ila zaman n raha sana aiseeee๐๐๐
2026-11-15 07:47:34
6
mirrabelangel๐๐ฆ๐ฆ :
I miss old me๐ญ
2026-11-15 09:12:40
2
Aggy@Mushi :
dah ๐ nmemiss na mm kuambiwa mwambye baba yako akuletew nguo
2026-11-15 08:25:55
1
lady from narumu โค๏ธ :
sina ata nauli ya kwenda nyumbani
2026-11-15 07:51:38
1
angie๐๐๐ :
ooh pole mway usifeel sad but pray kwaajil yake ๐ฅฒ๐
2026-11-15 06:52:11
1
Afrika :
yaan nimeshapima nguo ya mshazari naenda tu kuchungulia kwa fundi
2026-11-15 07:28:07
1
yusta wa simba :
dah now nawaz kwenda kaliakoo kuwachukulia wanangu nguo za x mass maisha yako kas sana
2026-11-15 07:40:01
1
ivy_store๐ :
Miaka inavyoenda ndo inazidi kupoa,
2026-11-15 09:44:11
0
Annahcute โค๏ธ :
Mimi ningekua na gaun zang mbili ya kutungua na kushona๐
2026-11-15 08:55:34
1
who is Lucia๐ฅฒ๐ :
sahizi naenda tafuta mwenyewe kwa hela angu
2026-11-15 08:24:53
0
Jesca Samwel :
Poleee
2026-11-14 21:01:53
2
Dayness senkoro :
Afu kweli๐ฉ๐
2026-11-15 10:27:11
0
๐น๐ฟkwizera :
Mama angu alikua anatununulia mapema kazi yangu ilikua ni kujiiba kuzijaribu na kuzivua na kurudisha kwenye kimfuko chake..mpaka kufika sikukuu nguo imechafuka
2026-11-15 09:58:41
0
nicholauscosmas98 :
apa saivi nawaza hela ya nguo kwaajili ya dogo natoa wapi
2026-11-15 10:24:01
0
sarah lema :
2026-11-14 20:05:48
3
Ms ๐ฆ โค๏ธlavy@โผ๏ธ :
mama ashawapigia watu wa nguo waniandalie gauni langu la Cinderella jeupe
2026-11-15 09:31:29
0
๐ธ~CHICCO~๐ธ๐ฅ :
Ningekuw nshanunuliwa magaun yang matatu mpk mwak mpy na viatu [Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed]
2026-11-15 09:39:51
0
Jake99 :
Wengine tushasahau kama huwa kuna Christmas
2026-11-15 10:09:43
0
P COSMETICS TABORA :
2026-11-15 10:26:16
0
Doctor Lilian :
I miss you my dad nimekukumbuka sana ilikua ikifika likizo naenda kwa mama lazima uninunulie magaun mawili bila kusahau viatu kwaajili ya sikukuu pumzika kwa amani babayangu kipenzi
2026-11-15 09:44:34
0
Vira home decoration :
๐ญ๐ญ๐ญ๐ญhapa nilikuwa namsubiri mom angu aje kutoka dar na nguo za sikukuu na viatu ila kitu umri imenifanya sina hamu๐๐๐
2026-11-15 10:12:37
0
user122403554723 :
Hii Nyimbo kuna Namna Inaumiza sana Alaf inafeeling sana an daah๐ฅบ๐ฅบ
2026-11-15 08:46:48
0
To see more videos from user @rickson3851, please go to the Tikwm
homepage.