@taimediatz: Mwanaharakati na mchekeshaji kutoka Kenya, Eric Omondi, amesema wamefanikiwa kukusanya shilingi za Kenya milioni 8.8 kwa ajili ya kusaidia familia ya Bryston kijana mwenye ugonjwa adimu wa ngozi uliokuwa ukipelekea kukutana na unyanyapaa kwa jamii. Kupitia fedha hizo, wamepanga kujenga nyumba ya vyumba vitatu kwa ajili ya familia, nyumba ya vyumba viwili kwa Bryston, kumpeleka mama yake hospitalini kwa uchunguzi na upasuaji, pamoja na kuanzisha mfuko wa elimu wa KSh milioni 2 kwa ajili ya Bryston na ndugu zake. Aidha, mpango huo unahusisha kuanzisha biashara endelevu itakayoiwezesha familia kujitegemea kiuchumi. ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatv #taimediatz

taimediatz
taimediatz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 17:47:18 GMT
187364
16898
682
204

Music

Download

Comments

jakeskmu03o
キラー :
Why do people need cameras to record acts of “kindness “ … is it kindness or a transaction
2026-11-15 02:49:35
5
don.kolion
Don kolion :
in Kenya politicians are the problem Kenyans care about each other
2026-11-15 03:48:23
16
alp.njigo
Alp Njigo :
Wakati wa Mungu ndyo wakati sahihi 🙏🙏
2026-11-14 18:36:54
304
aisha.kwekwe
black beauty :
saii majirani na familia walio watenga sai wataanza kurudi
2026-11-14 19:44:04
114
perry7066
perry :
wakenya wanapendana jmn
2026-11-14 18:59:58
183
ellymchome61
Mchome Jr🦁 :
Afuu kuna wasanii wetu wa bongo.
2026-11-14 19:42:35
52
racheal.bahati
Racheal Bahati :
mnatenganisha Room ya baba na mama why....
2026-11-14 20:16:31
13
user584664197
clarabell musimbi260 :
Kenyans mubarikiwe
2026-11-14 21:15:49
18
neria_205
neria_19 :
Mungu awabaliki wote mnaojitoa kwaajili ya huyo mtoto❤️❤️
2026-11-14 19:48:40
42
tiktoksankhojoj5
Sankhojoj official account :
Be blessed brother omosh, you can be true leader walai.
2026-11-15 06:26:40
0
appy7638
Appy🍒 :
kuna wakati unapitia jaribu unaweza sema Mungu ni nini hiki,kumbe Jaribu lako laweza kuwa ushindi wako 🥰❤️nimejifunza kitu leo
2026-11-14 19:40:55
18
hussen.hassan60
Hussen Hassan :
huyu omond ni mtu sana kitambo ana moyo mzur san
2026-11-14 19:17:23
32
nafulamm
nafulamm :
be blessed erick
2026-11-14 20:19:55
0
user8172987790942ness
N💖e❣️s 💞t💘a♥️r :
some people have good heart,,God bless you all
2026-11-14 20:12:54
0
mamake.joy36
mamake joy💕💕 :
wow am so happy
2026-11-14 22:32:23
0
sweetessita6
sweetessita :
Much love Eric
2026-11-14 21:28:15
1
sheillanelima856
neli linz :
ukweli hata kama sijachanga ki2 lakini nasema2 wenye mmechanga wote mungu awspariki sana
2026-11-14 20:45:41
12
josef.m.sirruney
JOSEF M SIRRUNEY :
good job omosh 👏👏👏
2026-11-15 05:52:24
1
naomimasiaga
Naomi masiaga :
God bless Erick omondi
2026-11-14 20:19:28
5
akan2716
odetha🥰💫💥 :
nmewapenda bure nyie mko na roho mzri
2026-11-14 19:20:26
8
vijorapambe_ikwriri
Vijora Pambe Ikwiriri 🔥 :
Kuwakumbusha tuu pesa yao ni kubwa kuliko ya Tz🇹🇿
2026-11-14 21:01:01
5
neemasilvester1
neemasilvester523 :
mwenyezi Mungu akubariki kaka usipungukiwe katika maisha yako
2026-11-14 18:23:36
6
rehema.enyas
Rehema Enyas :
kwakweli tatizo langu lina faida yangu MUNGU awabariki kwa mlicho kifanya
2026-11-14 18:53:10
6
de.lucky37
De Lucky :
viongozi wa western wameona io kweli
2026-11-15 06:15:08
0
user7815761934666
masumbo :
am a Muslim but for this l always support U Christians,keep it up,
2026-11-15 04:53:11
3
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About