@bizoza.herbalist.p:

Bizoza Herbalist Product
Bizoza Herbalist Product
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 18:11:25 GMT
38488
758
44
231

Music

Download

Comments

salmaidd
samy :
na mende wadogo wadogo jaman dawa gani tutumie
2026-11-14 20:52:24
2
faustin774
faustin774 :
sasa kwa joto hili siunaweza kulipua nyumba😂😂
2026-11-14 21:18:06
2
user630659628
Bashiru Issa :
dizel vp
2026-11-14 22:53:36
0
nancie.nana1
Nancie Nana :
na mende pia
2026-11-14 20:14:47
0
juma.mwiru
Juma Mwiru :
ya paka je
2026-11-15 05:00:36
0
rumaysasunna
Rumaysa sunna product :
nakufatilia sana dokta na unavyolekeza nafanya na nafanikiwa Asante sana dokta
2026-11-14 18:16:49
0
tizodecorationzanzibar1
TIZO DECORATION :
dawa hio kiboko enzi zangu nshatumia sana tena apoapo haikopeshi
2026-11-14 18:31:07
2
jessie_official51
Jesse@05 :
dawa ya panya kaka 😊
2026-11-15 04:25:09
0
chelsea.fans952
Chelsea fans :
hata sisimizi wanakufa
2026-11-14 19:47:40
0
kindo5204
Kindo :
na panya,?tupe dawa yake
2026-11-15 03:22:53
0
11ally_4
Blue tik 11 :
dawa ya utitili ni nini
2026-11-15 03:19:01
0
b.r.i.a.n_ogoma
Brianbrayogoma :
Harufu je
2026-11-14 21:37:53
0
itskroos
GOOD . BOY💎🧢 :
mbn nilikutumia pesa na hujanitumia mzigo wangu??? mpak leo
2026-11-14 23:04:43
0
makamemussa550
habill :
ahsante kaka mimi nimefanikiwa nimefanya kama ulivyotoa maelekezo ahsante
2026-11-14 20:09:35
0
habibuhamad568
HABIBU SOUND 💥💥💞 :
hiii ni dawa au sumu
2026-11-14 23:21:49
0
user1842274398598
Kila hatua dua :
Asante mimi naomba ya mende kaka
2026-11-15 02:51:51
0
josephlaloh
Steve Barber💈💈 :
I auwa Hadi Mende ama ?
2026-11-14 21:30:40
1
officiallydia04
official lydia :
mende please
2026-11-14 20:50:58
0
thomasaidankomba
Tiyoke Magoboyz :
sisimizi jee
2026-11-15 05:06:54
0
polkitwe
pol :
kwaiyo sabuni yote tunamimina?
2026-11-14 18:54:25
0
robetro_kibash
KIBASH W4L GRAPHICS 📸 :
alafu unafaa kuonja kama iko sawa ama🤔🙆
2026-11-14 21:23:06
0
shedracknyamba
promise of God :
wadudu kama mende vp inafaa
2026-11-14 20:01:32
0
swakharihawanga
swakharihawanga :
je inaua mpaka mayai ya kunguni ?
2026-11-14 20:14:45
0
nicemk99
nice mk :
Mwanga nyumb nzima afu washa kibeliti zote zinakufa hazirud tena
2026-11-14 22:11:12
0
faki.0017
Faki 001 :
Ilikuaje mpaka ukabuni hiyo dawa??? Yani ulifikiriaje mpaka ukaipata hiyo dawa 😳
2026-11-15 00:24:05
0
To see more videos from user @bizoza.herbalist.p, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About