@methuselah.bimbig: Umetutendea mengi Bwana, mengi kuliko tulivyokuomba na hata tulivyostahili. Katika nyakati za furaha na changamoto, mkono wako haujatuacha. Tunayo sababu ya kukushukuru, kwa maana wema wako hauna mwisho. Je, wewe una jambo gani la kumshukuru Mungu leo? ❤️🙏 #MunguNiMwema #Ushuhuda #NeemaYaMungu #JesusChrist #GospelTikTok