wangu ana mwaka na mwezi hajatbea anasimamia vitu kutembea bado
2026-11-14 22:09:38
2
Suzan Kivuyo :
mimi wangu ana miezi minne hajakaza shingo
2026-11-14 18:57:46
1
lincie lin :
Dr mm mtoto wangu anamiezi saba lakini anaumwa na tumbo akikunywa maji ama uji shida inaeza kuwa nn
2026-11-14 19:56:10
0
f@yo🥰 :
tuna ingiza mwaka na ata Aja simama wala kutembea
2026-11-15 07:33:07
1
Anjianji :
Asante
2026-11-14 20:47:03
0
Esther :
wangu alikaza shingo na mwezi moja
2026-11-15 08:03:15
1
Joselyne MUCO :
mimi wanguu ana mlazi 1 all kilakituu kikigonga anastuka ukitaka hata kumunyanyuw ungali unamgusa anaskia mikono yako unaonakama mtoto anawasiwasi sana! ask ii inatokea kunini pia inamazara gani kwa mtoto? na inatibiwa aje? nisaidieni jamani
2026-11-15 10:41:11
0
MRS G♥️ :
mtoto anaweza kuvuka stage?
2026-11-15 12:46:23
0
lvonne :
wangu ako miezi 9 na anatembea ako na meno
2026-11-15 14:05:49
0
sally :
Dr shikamoo
2026-11-14 19:06:34
1
Aksa Saleh :
Dr mjamzito ndani ya kipindi cha pili kupata turbo la kuharisha mara kwa mara hii inamaana gan
2026-11-15 11:29:23
1
user8004258772868 :
asante dr nimefata mafunzo yako sasa tuna miezi 6 hajanisumbua kwakweli
2026-11-14 19:24:37
1
Fanya Fuji Uone💪 :
umesuka smart dakitari 🥰
2026-11-14 19:26:32
1
listema01 :
Thanks Doctor🥰
2026-11-14 18:34:29
1
mowagu :
naomba uniandikie ratiba dkt jes
2026-11-15 04:07:38
0
Esther Herman :
dada naomba unisaidie hiyo lishe pls
2026-11-15 08:26:52
0
Naomi Nate :
wangu ana mwaka na miez cta na hajaanzq ata kutambaa,kila akishikwa na homa anarudi nyuma tuu,shida itakua nn
2026-11-15 18:31:54
0
Amour ❤️ :
Dr jess nn usababishwa kondo la nyuma la mtt kushuka chini
2026-11-14 19:21:07
0
veronica vero :
wangu ako miezi 10 na anasimama
2026-11-14 21:25:31
0
❤️🧡❤️❤️❤️ :
aaaah Asante
2026-11-14 20:10:07
0
queen Aliciah 😍😍🤩🤩 :
wangu akona 2.1na Bado ajatembea
2026-11-15 18:42:55
0
speioza :
naomba msaada doctor nifanye nn
2026-11-14 19:22:15
0
Baby :
Asant sana dkt
2026-11-14 18:43:07
0
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm
homepage.