@lindi_trending: BILIONI 4.22 ZALIPWA, MRADI LINDI WAFIKIA 24%, TAKUKURU YAINGIA KAZINI Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, ameiagiza TAKUKURU na Jeshi la Polisi kuchunguza matumizi ya Sh bilioni 4.22 zilizolipwa kwa mkandarasi wa mradi wa miundombinu Manispaa ya Lindi. Hatua hiyo inakuja baada ya kubainika kuwa kazi zimefikia asilimia 24 pekee, licha ya asilimia 80 ya muda wa mkataba kuwa imetumika. Aidha ameagiza uchunguzi kubaini namna fedha zilivyotumika na sababu za ucheleweshaji, huku ripoti ikiwasilishwa kwake kwa ajili ya kumfikishia Rais Samia Suluhu Hassan. #trendingvideo #trending #viralvideo

LINDI_TRENDING⛎
LINDI_TRENDING⛎
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 18:50:29 GMT
11449
382
37
35

Music

Download

Comments

catherinecharles42
Buthaina charles42 :
lini kwani
2026-11-14 19:36:18
1
rooster035
roosterTz :
hiyo leo hiyooooooooooooo😂
2026-11-14 20:25:00
0
ibrahgift
ibrah :
Police [Laugh approved]
2026-11-15 03:20:48
0
gadaff676
Gadaff :
Mjomba we ndio next president after mama, tulichelewa kukupata
2026-11-15 03:37:27
0
mariamulomi1
Mariam ulomi :
Wataenda kutajana huko huko takukuru
2026-11-14 20:34:32
1
user9032761815614
user9032761815614 :
Waziri wa tamisemi, katibu mkuu, mkuu wa mkoa, katibu Tawala mkoa, mkuu wa wilaya, wote waondoshwe ktk nafasi zao, mkurugenz halmashauri, fukuza ili wengine wakae Sawa ktk majukumu yao
2026-11-14 21:43:08
1
charzyking
charzy_king :
hili bato nilikua nalisubir kwa hamu saana
2026-11-14 21:04:38
1
mjanaeliumbo
IRFAN UMBO 🚦🚦🚦🚛🚛🚛 :
nishaanza kukuhelewa muheshimiwa
2026-11-15 03:10:41
0
user99726983259780
hamim :
hongera kwa kumsaidia mama
2026-11-15 03:10:50
0
musomafinest6
cnn :
apo sawa naza kuwaelewa
2026-11-15 02:42:27
0
ashakirohosafitz
asha kiroho safi tz :
hakuna kaz hapo
2026-11-15 03:08:09
0
jaywizzy074
J.A.Y December :
Lindi mabeagn
2026-11-14 19:57:37
1
milwaukee081
Buraq :
Huku chini ndio shida kubwa sana
2026-11-14 22:39:52
0
pinafrica.tz
Pinafrica 🌍 :
Uchunguzi tena
2026-11-14 23:29:32
0
naima02427
Naima024 :
hiyo leo hiyo akuna kuwaacha hao
2026-11-14 20:17:48
1
shamila677
shamila677 :
nashindwa kuelewa
2026-11-14 19:34:33
1
nassib.jr3
Nassib Jr :
Washakuja weng hv hv miaka yote Ila wakiondoka mambo Yale Yale
2026-11-14 22:29:29
0
hase0409
H 🥀🥰🥰 :
Kuna mambo mengi sana kwenye uo mkoa ila bhs tu ni vile watu wapo kimya
2026-11-14 22:08:07
0
yusuf.yanga
Yusuf Nalinga :
lindi tumesuswa sana
2026-11-14 20:00:39
0
akayohaog
akayoha og :
yetu macho
2026-11-14 20:06:06
0
issa.ali550
Issa Ali :
kaka wenga ndani
2026-11-15 03:46:57
0
manyuki96
Manyuki :
Shida wakuu hamuwape adhabu inayostaili ndio kila siku vinajirudia.kila.sehemu unapoenda hakuna kitu ambacho kipo.sawa
2026-11-14 21:43:28
1
dhhimself
DH HIMSELF🔱 :
SIASA
2026-11-14 20:49:35
0
hamisi.jafari28
Hamisi Jafari :
lindi iyooooooo
2026-11-14 20:09:20
0
lingwala.ismaily7
lingwala ismaily :
duuh atal sana
2026-11-14 19:01:52
0
To see more videos from user @lindi_trending, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About