@pambijemwanakijiji: #funnyvideos #fypシ゚ #foryoupage #trending

pambije 𝐌𝐊
pambije 𝐌𝐊
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 19:17:03 GMT
111155
3380
177
364

Music

Download

Comments

annakletateophilo
Annakleta Teophilo :
umenikumbusha mbali mm na mdogo ang😁😁😁
2026-11-16 13:31:47
80
aggnesjustine
😭mrs💘 chimomy💔💔 :
me nilimfanyia hvy mama akanipg na sufuria ata sitaludia tenaa[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-17 17:44:01
0
mom_mulhaty
🦋 Barbie_daty🎀 :
Bibi angu akiosha vyombo ukimuongezea utamsikia si mnataka nilale hapa hapa😂
2026-11-17 06:17:41
25
bint.yke.baba
bint yke baba🥰 :
uchoyo tu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-17 09:08:22
0
saliquinho
saLi gifted :
ciao adios im done[Tears of joy]
2026-11-17 12:34:31
0
user6361377543987
marth j4 :
hahahahahahahahah🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mm nilikiwaa naziraa sioshiii an
2026-11-17 18:15:53
1
user7978784943439
Zay♥️Careen :
hat mm cpend naosha vyombo alafu mwingine ananiletea kingine
2026-11-16 15:44:37
53
_happy174
_𝐡𝐚𝐩𝐩𝐲 :
hlafu hapo tumawahi kuangaria move
2026-11-17 12:55:09
4
user9407016257749
Lydia :
tupo wengi tu
2026-11-16 10:50:38
18
mbishij
#mbishiJ :
mimi na dadangu tulishapigana kwa ajili ya ili swala na saivi hua tunakumbushiana pale m1wetu anapomtembelea mwnzake kwake nakaa kibosi wapike tule aoshe vyombo na mmewe atajua mwnye namimi akija kwangu atulie[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-16 16:10:40
8
jalydiamsabilaa
Jalydia Msabilaa :
Yan m nikishaanz kuosha sipend kuongezea vyomb upo Kam mm tu
2026-11-17 12:24:33
0
user8123166598199
cute nelly :
umenikumbush mbali nyumbn kulikuwag na mdada wa Kaz asbh yeye alikuwag nikudek na kupik chai Mimi kuosha vyomb mdog wang kufagia uwanj asa mim nilikuwag nachelew kuamk jmn nitakut dada kanikusanyia vyomb vya chai vyote ukifik kwenye kalo unashik tam kwanz
2026-11-17 11:25:46
0
user2946029819198
G lay :
kama mm duh🤣🤣🤣🤣🤣 familia kabc
2026-11-16 14:02:29
6
maua.sama7
mama.double.N :
kazi siipendi hii jamani uwiiii
2026-11-16 18:05:18
2
maliamzbyl
mirry official 🤪😜 :
kwaiy mmeona mnitangaz sas ety
2026-11-16 21:41:47
2
adolphina92
adolphina :
Enzi zangu izo kwetu tulikuwa watoto wa 3 Atar iyo mtu inapita siku mbili bila kuosha vyombo 😁😁😅😅😅😅alafu mtu akileta chombo chake unamwaga maji yote 😁😁😁
2026-11-16 17:24:09
5
user6938852738625
belly❤ :
kumbe tupo weng nikajua ni mm 2🤣🤣
2026-11-17 08:40:35
1
user909702056806
philo💋❤ :
tabia yangu kbsaa
2026-11-16 13:19:04
2
user5738547744860
FATIMA :
utasikia aya nshamalza
2026-11-16 20:00:11
1
suzzymassatu
Suzzy Massatu :
😂😂😂😂 dah! umenikumbusha mbali
2026-11-16 20:21:37
1
censheaalo
Censhea Alo :
jmn nimekumbka mbali mim yani ilkuwa ikifka zam yngu tu ya kuosha vyombo mdg wang anaficha vingne akiona namlzia ndo anavitoa nje nioshe jmn mh
2026-11-16 15:07:33
0
totolababa21
❤️happy life🥰🥰 :
jmn mecha kwanguvuuuu🤣🤣🤣🤣
2026-11-16 18:15:34
1
user8844813748273
Ilhaamfoodpoint :
yani hyo mwanangu kabisa
2026-11-16 17:40:05
1
zainaadam952
zainaadam952 :
uyu ndo Mimi kabisa sitaki ujinga 😂😂
2026-11-16 19:12:13
1
user4330383549135
sharao@@@@ :
hapo katisha 😂😂😂😂
2026-11-16 16:09:58
1
To see more videos from user @pambijemwanakijiji, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About