@ney09_07: #fypシ゚viral❤️video #fypシ゚viral #viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyp

ney09_07🌸
ney09_07🌸
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 19:42:38 GMT
17857
1046
21
59

Music

Download

Comments

ms_fif__
Fifi _871🌴 :
caption is too 😘babe 👌 hugs🫂❤️🥂
2026-11-15 13:01:20
0
lix598
Lix :
Hakunaga mtu sahihi wala asiye sahihi,ukweli ni kwamba hata anayekupenda anaweza kukukosea,wengi wanabadilisha watu kila siku kwa kutafuta usahihi na wanaishia kukutana na madhaifu mapya kila wanakoenda ambayo nayo yanawapa sababu ya kuondoka tena,,hakuna kitu kizuri kinakuja kwa urahisi,chaguana na unayeweza kuvumiliana nae na kuwekana sawa ila kuhusu usahihi sahau,kila kitu kinahitaji utayari wa kuweka juhudi za kujenga na sio kukwepa kasoro
2026-11-15 08:09:48
8
bossetcosmetics
BOSSETCOSMETICS :
ni ngumu sana my love a right person is too right na ushazoeshwa heka heka u won't feel the flags sometimes una hisi this man is wrong hawez kuwa this perfect kuna kitu ana hide maybe he is too good at hiding things now u keep on digging kutafuta cha kukufanya uone he is not that much perfect aseeeeeh watu tuliokutana nao kwny maisha for the first time kama tusipo heal vizur wataamua the rest of our life stly tell me why I lost the right one coz he was too right na I didn't like it😳😳😳 it was making me uncomfortable
2026-11-14 19:48:41
6
heavenly.daugther
heavenly daugther :
sijawahi kutana na huyoi anaenipendaa 💔 nataamn nipate mtu nimwambie namn najisikia anisikilize anambiee niliee anikumbatie niseme yotee yanayonisibuuu 😭😭😭😭😭💔🙌
2026-11-15 13:22:42
1
bellachoby
🧸bella~♡ :
kwenye kupend wrong person tupogo vzur
2026-11-14 20:47:36
3
_nuh6
️ :
It'll be worse
2026-11-15 04:59:09
1
brynabrown_
HAIR BY BREE🤎 :
2026-11-15 09:41:36
0
tutu_closet._
tutu_Closet._ :
😂
2026-11-15 06:35:25
0
hellen_mirali
Greenwave Solution :
unataka kufuga samaki na hujui utajaza vipi maji kwenye bwawa karibu Greenwave solution tukufungie pump za kuvuta maji
2026-11-15 09:28:03
0
abdulhamidy_
Abdulhamidy_ :
watu sahihi probably mlishawakataaa
2026-11-15 13:50:41
0
To see more videos from user @ney09_07, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About