@almecky_tz: Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mgeni Khatib Yahya afanya ziara ya kushtukiza usiku katika Hospitali ya Wilaya ya Micheweni na kubaini changamoto za utoaji wa huduma za afya zinazowakabili Wananchi. #Zanzibar #Tanzania #Habari #Football #Trending

almecky_tz
almecky_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 14 November 2026 21:02:46 GMT
56218
2157
181
144

Music

Download

Comments

user6338069234441
Anna :
Fanya ivyo ivyo mama washtukize wamezoea
2026-11-15 03:34:29
33
user7530461678493
user7530461678493 :
madactari wa serekali wanajeuri wanajiskia cn
2026-11-15 04:50:33
18
nahda9698
Nahda🌹 :
Exactly RC Mgeni
2026-11-15 10:33:48
0
hamfa.hb2
hamfa.HB :
hata spitaly ya chake mama wana zarau kwa wagonjwa na matus
2026-11-15 11:04:58
1
fiki3813
Fiki :
hongera sana
2026-11-15 08:26:26
0
h.bachanga
H Bachanga :
Mheshimiwa apewe mauwa yake hongera dk
2026-11-15 06:48:46
9
coolfaddy001
coolfaddy001 :
This is sad,,,, kwani hii upuzi uko nchi zote? What is wrong with us
2026-11-15 05:51:40
2
user558380432470688
angel 😇 :
madaktar wengi ndowalivyo alafu Sia hapo TU ndomana wengi wanaenda private
2026-11-15 12:04:27
1
hafidhelmariesh1
hafidhelmariesh1 :
hakiamungu tunawahitaji kama hawa bila kujali nn nyuma alifanya
2026-11-14 22:57:42
13
iya130958
@iya 🔥🦋 :
Ndo kam mim ninauchungu Nina pumu nimewaomb daw yangu saa 4 Mpak saa8 kimyw nikaon nirud kwet manen yakaw meng etinirud wap jitimai unguja
2026-11-15 10:17:27
0
cuty1858
cuty :
tunakupenda Sana Sana Sana tena sn mamaaetu unatujalinkm uliotuoa tumboni kwako nimufurahi Sana UKIONA hili km mwanzo kipenz hapa Nakuombea dua Zaid ufike mbali utusaidie Zaid pamoja nawezee wetu
2026-11-15 10:53:09
2
mrsmege
Mr's MEGE💓💋💏 :
na akifikq mdawa wa mishahara vipo mbele mabenk ila huduma meyooo wenetuu ,wanadharau mpka bc nakufokea wagonjwa hawana kauli nzuri madaktari wa serekali baadhi ya spitali
2026-11-15 08:40:19
0
abdillakhabdisele
MWAJABU KP :
Wangefatiliwa hadi huku der na sio der kila mkoa ingekua raha sana
2026-11-15 03:47:42
6
aneth.john16
ANETH JOHN :
ndiyo mama wat tunakufa tunajifungua namadocter wanakula mezan mama tusaidie inaumiza😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-15 05:23:54
5
salim.khamis63
PORI 🪾🪾🌲🌲🌳🪴🌴 :
Aise madaktar wanavubir kweli si uwongo
2026-11-15 05:06:44
3
stayfocus029
Mr stayfocus029 :
Mh. Rc hata hospitali mpya ya mpendae kunauzembe hasa emergency,kwamacho yangu nimejionea. juzi,ambulance imeleta mgonjwa wahudumu wanazunguka wakiingia na kutoka ndani hadi ikaisha nusu saa ndo wanamshusha kwenye ambulance
2026-11-15 03:52:12
6
user5546105053658
user5546105053658 :
safi sana mkuu Allah atakulipa
2026-11-15 04:59:18
3
khamis4176
khamis :
njon na vitongoji
2026-11-15 04:14:27
5
kimpamer3
kim pamer :
kitogani ukiingia saa12 unatoka saa12 jioni
2026-11-15 03:56:03
3
albahrryy0
almangush :
njoo na unuja pongwe hospitali hakuna jambo
2026-11-15 04:15:04
3
oneonly445
😍🤗❤️‍🔥 :
Wamezidi haw
2026-11-15 03:27:39
3
mwanaharusi.ishak
Mwanaharusi Ishaka :
safi kabisa Luna watu wapo majumbani kazi akuna mungu tusaidie
2026-11-15 02:25:33
3
user6194040983601
Kassu Tz :
Hongera sana Mkuu wa Mkoa kazi nzuri sikuma ndani wote
2026-11-15 04:47:50
2
marybundala1
marybundala2 :
bora uwaambie maana ata mm nnahasira nao
2026-11-15 02:59:23
2
theman1army
brown eye :
tatzo mnawachekea
2026-11-15 02:54:22
2
To see more videos from user @almecky_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About