@a003009005007: 老歌新唱#星夜的离别 #翻唱 #經典歌曲 #好歌分享

美丽的世界
美丽的世界
Open In TikTok:
Region: TW
Saturday 14 November 2026 23:59:06 GMT
2556
101
6
28

Music

Download

Comments

user1926178042862
user1926178042862 :
Nice song
2026-11-15 00:33:20
1
callie.lew6
Callie Lew :
Beautiful song, nice l like it🥰
2026-11-15 02:30:49
0
autailim
autailim :
2026-11-15 05:46:23
0
phonepl5
甜甜 :
👍👍🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🎆🎆🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌷🌷🌷🌷🥀🥀🥀🌲🌲
2026-11-15 04:38:21
0
pp581210
溫蒂 :
2026-11-15 02:37:04
0
sherlywidjaja7
Sherly :
😍😍😍😍😍
2026-11-15 05:25:39
0
To see more videos from user @a003009005007, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Mwanamke yeyote anaehangaika kupata ujauzito, katumia kila aina ya dawa lakini imeshindikana kwasababu zisizoeleweka. Basi atumie beti hii inayo patikana katika dua maarufu kama JALJALUUTI. Kwa uwezo wa Mwenyezimungu atapata mimba kwa haraka sana kwa utukufu wa beti hii iliyobeba ndani yake majina matukufu ya mwenyezimungu. NAMNA YA KUFANYA: Andika beti hii mara 7 katika karatasi nyeupe siku ya alhamisi asubuhi kabla jua kuchomoza, kwakutumia zafarani ya njano iliyochanganywa kidogo na marashi rozi. Kisha karatasi hiyo utaiweka katika ndoo ndogo yenye maji masafi. Pia katika maji hayo utaweka kidogo unga wa karafuu na unga wa majani ya mkunazi. Kisha utasomea maji hayo Suratul Anbiyaa-i mara 1, Surat yasin mara 1, na Beti hii hii mara 21. Ukishamaliza utatia nia kwa kusema:
Mwanamke yeyote anaehangaika kupata ujauzito, katumia kila aina ya dawa lakini imeshindikana kwasababu zisizoeleweka. Basi atumie beti hii inayo patikana katika dua maarufu kama JALJALUUTI. Kwa uwezo wa Mwenyezimungu atapata mimba kwa haraka sana kwa utukufu wa beti hii iliyobeba ndani yake majina matukufu ya mwenyezimungu. NAMNA YA KUFANYA: Andika beti hii mara 7 katika karatasi nyeupe siku ya alhamisi asubuhi kabla jua kuchomoza, kwakutumia zafarani ya njano iliyochanganywa kidogo na marashi rozi. Kisha karatasi hiyo utaiweka katika ndoo ndogo yenye maji masafi. Pia katika maji hayo utaweka kidogo unga wa karafuu na unga wa majani ya mkunazi. Kisha utasomea maji hayo Suratul Anbiyaa-i mara 1, Surat yasin mara 1, na Beti hii hii mara 21. Ukishamaliza utatia nia kwa kusema: " Ewe Mwenyezimungu kwa utukufu wako, nakwa utukufu wa mtume Muhammad (s,a,w) na kwa utukufu wa majina yako matukufu yaliojaa neema na baraka, na kwa utukufu wa dua hii naomba ewe Mwenyezimungu unijaalie nipate mtoto, kama ulivyo wajaalia manabii pamoja na watu wengine, pia unifungulie milango ya kheri na baraka zako , n.k" Baada ya kumaliza kuweka nia. Utatumia maji hayo kunywa nusu kikombe wewe na mume wako asubuhi na jioni ndani ya siku 30 (mwezi mmoja) Inshallah kama utafanya njia hii ipasavyo, hautoisha huo mwezi utabeba mimba kwa uwezo wake ALLAH (s.w) . CHAKUZINGATIA. Hii njia inawahusu tu wale wanawake ambao hawana Maradhi yeyote katika mfumo wao wa uzazi. Mfano; U.T.I , P.I.D, uvimbe tumboni, kutokupata hedhi kwa wakati, kutoka uchafu sehemu za siri n.k Kama una hayo maradhi jitahidi kwanza kuondoa maradhi hayo katika mfumo wako wa uzazi. Kwasababu maradhi hayo yanasababisha mwanamke asishike mimba kabisa. Kama unataka kujitibia maradhi hayo kwa haraka sana, Tembelea ofisi za GYD HERBALS Dar es salaam. Tandika sokoni / Mbagala kizuiani. hawa wanatibu maradhi sugu katika mfumo wa uzazi wa jinsia zote na maradhi mengine kwa dawa za asili. Wapigie simu namba : 0756830533

About