@pika.na.mimi: Hii ndiyo maana ya chai nzito 😂☕️ Chai inapikwa hadi inatokota vizuri, sio kuchemsha maji na maziwa tu! Hapo ndipo utamu wa chai ulipo. 😍🔥 #ChaiNzito #ChaiYaMaziwa #TeaLovers #PikaNaMimi #MapishiYaNyumbani
pika na mimi
Region: TZ
Sunday 15 November 2026 04:38:49 GMT
Music
Download
Comments
shylock :
ivi tangawiz inasababisha maziwa kukatika?
2026-11-15 16:04:23
1
Bambakhan 79.. :
Chai au pilau maana sio kwa viungo hivyooo
2026-11-15 16:29:55
1
Dil-nawadh Ft :
iyo cha au miji michafu
2026-11-15 19:08:13
0
𝚂𝚠𝚒𝚝𝙳𝚒𝚍𝚊 :
𝚢𝚊 𝚐𝚛𝚎𝚎𝚎𝚗 𝚗𝚒𝚗?
2026-11-15 17:12:02
0
user3365165735860 :
2026-11-15 04:51:02
1
Sameera Humoud :
mbona hutiya majani ya chai
2026-11-18 06:06:20
0
Asia Selemani :
mansha Allah chai tamu iyo 🥰🥰🥰
2026-11-16 10:17:45
1
m___s.23 :
Mdg mdg
2026-11-15 08:01:33
0
Irene_son nazru💕 :
pambeee👌👌😘
2026-11-16 12:57:30
0
shishi wa nuraytham :
mashaallah
2026-11-15 10:44:49
0
pendo ramadhani :
kikombee sh 1000 karibun sanaaa🤗🤗🤗🥰
2026-11-16 01:14:54
0
Seisal :
nkipata wa hv naoa
2026-11-15 16:58:50
0
Cutee Zey :
🥰🥰🥰
2026-11-15 11:07:00
0
To see more videos from user @pika.na.mimi, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.