@fastpromedia: Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefanya marekebisho ya viwango vya faini kwa baadhi ya makosa ya pikipiki, bodaboda na bajaji, sambamba na kuweka viwango vipya vya mwendo katika barabara mbalimbali, hatua inayolenga kuimarisha usalama na kuboresha huduma za usafiri. Akizungumzia marekebisho hayo , Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Dkt. Khalid Salum Mohamed, amesema uamuzi huo umetokana na maoni na malalamiko ya wananchi na wadau wa usafiri, hususan madereva wa pikipiki na bajaji,. kuhusu viwango vya faini na mwendo vilivyokuwa vikitumika ambapo mabadiliko hayo ya viwango vya mwendo na faini yataanza kutekelezwa rasmi kuanzia Desemba 1, 2026. #tanzania #zanzibar #fpupdates
FP Media
Region: TZ
Sunday 15 November 2026 05:00:13 GMT
Music
Download
Comments
محمد سلوم الغيثي :
kioo ndo nn
2026-11-15 06:59:33
2
Salum Mayoo :
serikali tunaomba mtupunguzie gharama za kutafuta lesseni na kupasisha chombo
2026-11-15 08:25:42
8
Kindovenus Msuya :
niwapi
2026-11-15 09:03:14
0
Kassidi Zanzibar :
Kama kawaida yetu sisi tunatengeneza tatizo halafu tunalitatua ili tuonekane tumefanya jitihada 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-15 07:30:31
12
Yumna agency :
hongera sana
2026-11-15 08:55:03
0
efron :
kwani speeding mbna huwa napigwa elf 30, na hapa nasikia laki na nusu
2026-11-15 12:33:00
0
Yasser :
Hapo Safi kidogo, tunaomba mtupunguzie na upatikanaji wa leseni waungwana ✌️mtakuwa mumetufanyia uungwana vijana ambao hatuna ajira serikalini
2026-11-15 08:12:15
2
Mr Masai :
uko vizuri mkuuu🙏🙏
2026-11-15 11:36:06
1
british :
kumbe ni kwa bajaji na bodaboda tu🥺
2026-11-15 08:05:53
1
shaxpier :
hyo Kwa Zanzibar je bara ikoje
2026-11-15 12:46:57
0
JUSTIN ELIAKIM :
kwahiyo uhalifu umehalalishwa
2026-11-15 12:48:05
0
saibar :
sasa makosa yataengezeka
2026-11-15 07:23:55
1
user6161459815781 :
sas mumepatia
2026-11-15 06:50:44
1
issanjiwa :
kosa la kuchukua rushwa barabarani nalo
2026-11-15 12:49:50
0
haile_.maryam :
Afadhali maarifa yamekua
2026-11-15 12:07:44
0
Marcogaga :
bora faini ikiwa ndogo ela inaenda serikali kuliko ikiwa kubwa Trafic ndo wanafaidi
2026-11-15 12:32:35
0
Master :
sawa
2026-11-15 12:16:51
0
KWIOO_GSM WATER :
haaaaa
2026-11-15 11:31:53
0
rashid seif :
Mzee Jaku alifanya kazi kubwa sana kwa kweli juu ya jambo hili.
2026-11-15 11:43:31
1
KWIOO_GSM WATER :
duuu
2026-11-15 11:32:11
0
Delly store :
fine elf 50 sasa nikasomeee harf nije kulipa 150 ya leseni vya nini mimi🤣🤣🤣
2026-11-15 13:05:12
0
NASIR MANSOUR IJUMAA :
Kama una makosa yote ya barabarani je?
2026-11-15 13:18:27
0
Spendi Tesha :
ningeshangaa hayo mambo yatokee apa tz bara
2026-11-15 11:44:42
0
Twaheer :
Hawa wa2 wana mipango ya kuingiza hela hatari[Tears of joy]
2026-11-15 11:44:34
0
chauchau45 :
💯 💶 💯 💶
2026-11-15 06:58:54
0
To see more videos from user @fastpromedia, please go to the Tikwm
homepage.