@uhondo.tv: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)na Jeshi la Polisi kuchunguza matumizi ya fedha za mradi wa kuboresha miundombinu ya Manispaa ya Lindi, baada ya taarifa kuonesha kuwa mkandarasi amelipwa shilingi bilioni 4.22, lakini utekelezaji umefikia asilimia 24 pekee huku asilimia 80 ya muda wa mkataba ikiwa imetumika. Akitoa maelekezo hayo leo wakati wa ziara yake mkoani Lindi, Makamu wa Rais ametaka kufahamishwa namna malipo yalivyofanyika, fedha zilivyotumika na sababu za kazi kutotekelezwa kwa kasi iliyotarajiwa. Pia ametaka taarifa ya uchunguzi imfikie yeye mwenyewe ili aiwasilishe kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. #UhondoTVUPDATES
hao ni vivuli tu ila waliowalipa ndio wanajua fedha ipo wapi
2026-11-15 09:11:09
0
MR UNYAMA :
MAMA HUYU SIO MNAFIKI KWAKO ASANTE KWA KUMFANYA KUWA MSAIDIZI MTENDAJI WAKO🙏🙏🙏🙏🙏
2026-11-15 06:48:25
2
mene Whittaker :
Jaman tusome 😂😂😂😂😂
2026-11-15 08:33:26
1
Mabomba TZ :
ndejembi yup moto
2026-11-15 07:36:27
1
dulla_nation :
heshima kwa MAMA kutuchagulia makam jiwe✊️
2026-11-15 08:36:01
1
Omega :
10% ooooh! nina uhakika hawa jamaa wakifunguka ukweli mhhhh nachelea kusema Tender Board itakuwa matatani zaidi!!! Haiingii akilini watu wapewe pesa na wasifanye kazi
2026-11-15 05:46:28
1
NYANDA LENI :
je
2026-11-15 09:50:54
0
BUSINESS EMPIRE TZ :
Katika muktadha huo, “Nina chelea walale polisi leo”
ina maana:
Nina wasiwasi au nina hofu kwamba wanaweza kulala kituo cha polisi leo.
Hapa neno kuchelea lina maana ya kuwa na hofu ya jambo fulani kutokea au kuwa na wasiwasi kuhusu matokeo yake.
2026-11-15 09:30:27
0
Hanns Maggeida :
haya mambo banaa
2026-11-15 10:08:34
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.