@fastpromedia: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Deogratius Ndejembi amekagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam -UDSM Kampasi ya Lindi, huku akipongeza hatua iliyofikiwa na usimamizi mzuri wa mradi huo. Katika ziara hiyo, Makamu wa Rais amepokelewa na Mkuu wa Chuo hicho na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, pamoja na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo anayeshughulikia Taaluma, Prof. Rose Acen Upor, na Naibu Mratibu wa Mradi wa HEET wa UDSM, Prof. Liberato Venant Haule. Akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya mradi, Prof. Haule amesema utekelezaji wa awamu ya kwanza umefikia asilimia 98, huku kampasi hiyo ikitarajia kudahili wanafunzi 360 kuanzia Machi 2027. Amesema kampasi hiyo itaanza kutoa mafunzo ya ngazi za astashahada na stashahada katika maeneo ya uzalishaji na uchakataji wa mazao ya kilimo na mifugo. Aidha, ameielekeza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuangalia uwezekano wa kuipa kipaumbele Kampasi ya Lindi katika awamu ya pili ya HEET, hususan ujenzi wa nyumba za walimu na wafanyakazi. #fpupdates #tanzania #zanzibar

FP Media
FP Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 15 November 2026 06:25:22 GMT
31009
1187
20
28

Music

Download

Comments

officiatatasarosh
@officialtatasarosh :
Napongeza sana utaratibu huu wa kupokezana vijiti TZ, nimefarijika sana kumuona HE. JK (our former 4th President),kutoa pongezi kwa Mhe. VP. Ndejembi, ambaye ni kijana wake, ona kwa majirani wenzetu DRC.
2026-11-15 07:57:38
5
gundumu2024
GUNDUMU :
hii ndio mikakati kapambe ya kuikuza kusini kiuchumi. Dodoma, Arusha na Mwanza imekuwa kutokana uwepo wa vyuo
2026-11-15 07:31:59
6
user4084567284619
user4084567284619 :
power bwana da
2026-11-15 10:03:06
0
fungogodlove
FungoGB :
Mauaji ya October 29
2026-11-15 09:21:36
1
rashidimanjano590
Timba :
mzee anatuonesha avijukuu vyake ,one love
2026-11-15 08:09:40
2
wisedomason
ccmuvccm :
hongera sana makamu wa Rais kwa utumishi wako uliotukuka
2026-11-15 07:29:17
2
sitegmail.comstel
[email protected] Isdory :
lini manyara jamani [Tears of joy]
2026-11-15 09:08:17
1
user5776607546115
user5776607546115 :
serikali yetu inaendelea kuchapa kazi, hongereeni viongozi wetu
2026-11-15 07:56:28
1
abdulqadikibassa
abdulqadirkibassa :
POLE POLE JINA LITABAKIA MILELE MPAKA MIDOMONI MWETU RAISI KATAJA
2026-11-15 08:13:06
2
alhajplasterdecoration
kanik Plaster Deco 🇹🇿 🇰🇪 :
hiii sasa ndio siasa tunayoitak tanzania sio wale waupande wapili mwenyekiti mstaafu hajachaguliwa amesusia mpak mukutano mikuu yacham hahudhuriii[Tears of joy][Tears of joy] ccm oyeeeeee
2026-11-15 09:09:13
0
msangule12
Omary Msangule :
Safi sana
2026-11-15 07:55:08
1
mwakab01
user7579829836292 :
ila maisha kuwa na nidhamu..!! leo hii Ndenjembi anaweza mpangia nn cha kufanya Rais Mstaaf JK.[Pray]
2026-11-15 08:47:54
0
harrisonroby
Emmanuel :
Hapa tunaijenga Tanzania, Tanzania 🇹🇿 kwanza.
2026-11-15 10:02:31
0
emmanueli464
Emmanueli :
kazi ienderee
2026-11-15 09:24:20
0
fernandmichael5
Westlife236 :
Mkuu wa chuo ten kikwet
2026-11-15 08:39:56
0
user6594018617143
user6594018617143 :
mkuu wa chuo nipigie pande hapo nije nifungue mgahawa ndani humo
2026-11-15 08:00:27
0
rashidimanjano590
Timba :
watuoneshe fedha kilimo umwagiliaji zipo wapi ,na njaa imezdi asa kwa watu masikini
2026-11-15 08:11:10
0
mwanuru.mpate
Mwanuru Mpate :
LINDI KUCHELEE🙏
2026-11-15 08:47:44
0
deesello1
Sello philex :
zee halizeeki hili🤣
2026-11-15 09:43:28
0
kassimhassan27
kassimhassan27 :
hapo hakuna kazi nenda tu
2026-11-15 09:44:01
0
abrah.outfits
Abrah Outfits :
😳huyu mse utawala wake sjawahi kuskia anafokea wez wala lushwa kutimuwa wafanya kaz hewa huyu ndie kaaribu kila kitu
2026-11-15 09:50:53
0
rashidimanjano590
Timba :
mi najuwa wazee Amna shida lakini kwanini TANZANIA tunafukuza wajasilimia mali wadogo wadogo katika nchi Yao wakiwa wanategemea kulipa ada na majukumu mengine ambayo ni muhimu,lakin linawezkn mwanzoni wakiishije
2026-11-15 08:15:13
0
user5386884903877
user5386884903877 :
kwaiyo mze baba amekua ivii🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-15 07:51:53
0
abasi.mpaji
Abasi Mpaji :
[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-11-15 09:18:55
1
To see more videos from user @fastpromedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About